Peter Msigwa: Kumbe sio Kila John ni Yohana

Peter Msigwa: Kumbe sio Kila John ni Yohana

Wapinzania acheni siasa za maneno matupu!!!!tumechokaaa!!tunataka siasa za matemdo yanayo onekana.
Mbunge asiye penda maendeleo hatumtaki 2020
Kawaambie: Ndugai, Lusinde, Nkamia, na wengine wengi wa kilakitu ndio huko lumumba.
 
Pamoja na hoja za john wa 1 nimependa jinsi aliyotoa maoni ya wengi kwa kupuliza na kung'ata ,CDM nawaomba hyo iwe ndo modality ya kujieleza siyo kwenda kwa hasira na kuongea kama vile hamna vpaza sauti
#tuache dharau
Anza na Makonda.
 
Akasahau hadi kutaja idadi ya madaraja yanayopatikana katika kipande hicho cha barabara chenye urefu wa Km 19.
Kwa hiyo mpaka sasa miaka mitatu amejenga km ngapi, nahisi ni zile nane kutoka Mwenge mpaka Morocco, hii ya Kimara-Kibaha hatuwezi kuihesabu kwa sababu haijaanza kabisa, angalau ikifika robo tatu tutaanza kuihesabia. Hongera Presidaa!!
 
Kila
nimesoma pia kwenye biblia na kukutana na jina la kimombo peter ambaye kwa kiswahili ni petro. peter wa kwenye biblia alikuwa mwanafunzi imara wa Yesu na alikuwa tayari kufa kuitangaza injili, hakuwa na tamaa za kisiasa, hakuwa mpotoshaji, hakuwa mropokaji , alijawa na hekima tele, alihubiri injili mpaka mauti yake. tofauti ya peter wa kwenye biblia na huyu tuliyenaye ni kwamba peter huyu ni mchunguji aliyetoka kwenye uchungaji kwa tamaa za kisiasa, hayupo radhi kufia kwenye dini akitangaza injili, ni mpotoshaji na ni mropokaji, na kapungukiwa hekima ya kuamua na kutenda.

nimetafakari na kujua kuwa sio kila peter ni petro wengine ni petroli
kila binadamu ana mapungufu yake, Peter wa kwenye Biblia alikuwa hajui kusoma na kuandika, alimsaliti Yesu kabla ya jogoo kuwika kwa kumuongopa yule kijakazi aliyemwambia ni Mgalilaya na yeye Peter.
 
Bashite atakuwa anajuta kumpa nafasi ya kusalimia hadhira John the Baptist wa ukweli!!
 
Wewe ndiye hujaelewa......Yohana wa kwanza ndio yule mbatizaji na Yohana wa pili ndio yule mwanafunzi ambaye Yesu alimpenda sana ambaye akiwa msalabani Yesu alimkabidhi mama yake amtunze. Ndiye yule Yohana aliyekwenda kuishi Uturuki nchi yenye maendeleo makubwa sana duniani.......Na Yohana wa pili kwa muktadha wa mada hii ni mpenda maendeleo anayeibadilisha Tanzania iwe kama Turkey!
Unaota ndoto...!
 
Wahitaji kutulia na kupata muda wa 'kupumua' japo kidogo. Itakusaidia kutafakari na kurudi kwenye mada.

Nadhani nawe ulishuhudia Azam TV/TBC, John Jiwe alivyojikuta anatafuta utukufu binafsi hata akawatosa WASTAAFU walomfikisha hapo anapojivunia leo.
Jibu swali......unajua maana ya kusujudu?!
 
Nimewahi kumsoma Yohana Mbatizaji kwenye Biblia. Yule ambaye kwa kimombo huitwa John the Baptist. Lakini leo pia nimepata bahati ya kuwasikia John wawili wakitoa hotuba.

John mmoja ametoa hotuba fupi sana, nzito sana, ya kinyenyekevu sana lakini ya kijasiri sana. Kwa uzito wa hotuba ya John wa kwanza, imelazimu hotuba ya John wa pili kuwa ndefu sana.

Niliposikia hotuba ya John wa pili nikagundua kuwa hotuba ya John wa kwanza ni kama imefanya ubatizo kwa hotuba ya John wa pili....maana maneno mengi ya hotuba ya John wa Pili yametokana na maneno machache tu ya hotuba ya John wa kwanza.

Wote ni John.... lakini kumbe sio kila John ni Yohana!!!.
Ndio upinzani umefikia hapa kuongea kama msigwa. Dah! Ila tulitabiri kwa spidi ya jpm lazima wapoteane.
 
Kuna msemo wa kisukuma unasema
"Ignorance of law has no defense" Kumbe wasukuma wanaongea hiyo lugha.
 
Back
Top Bottom