Peter Msigwa: Kumbe sio Kila John ni Yohana

Peter Msigwa: Kumbe sio Kila John ni Yohana

Wapinzania acheni siasa za maneno matupu!!!!tumechokaaa!!tunataka siasa za matemdo yanayo onekana.
Mbunge asiye penda maendeleo hatumtaki 2020
 
Pamoja na hoja za john wa 1 nimependa jinsi aliyotoa maoni ya wengi kwa kupuliza na kung'ata ,CDM nawaomba hyo iwe ndo modality ya kujieleza siyo kwenda kwa hasira na kuongea kama vile hamna vpaza sauti
#tuache dharau
 
Hukumuona JJ Mnyika aliposimama na Kumsujudia Rais Magufuli?!...... Unajua maana ya kusujudu kiitifaki na kiimani!.......ndio maana kila siku Lowassa anawapa darasa sema mna vichwa vigumu!......na ndio maana mtu anaruka dhamana kwa mambo yake binafsi mnamuita mfungwa wa kisiasa Ufipa ni bure kabisa!
Mbona unalazimisha sana kutoelewa mada ya mleta mada?Mbona ni vimistari viwili tu?Hizo akili za kuokoteza utazikuta lumumba tu!
 
Mkuu akiwa unaandika jaribu kushirikisha 'kichwa' ili ueleweke. unatakiwa uwe unaweka ushabiki pembeni kuliko mihemko yako.

Kati yangu na Msigwa nani katumia ushabiki kuliko mantiki na akili? Mimi sina mambo ya Chadema wala CCM kwenye mambo ya msingi. Kwa akili yako YOTE unaona Msigwa kajenga hoja ya kikomavu au ni kujaribu tu kusifia madhali mhusika mnatokea naye mlango mmoja Wa Itikadi?
 
Yohana ......!!?

Inanikumbusha enzi za Mtikila (RIP) na Yohana wake .... enzi za Mwinyi!!
 
Anhaaa kumbe mnampa kiburi ? Mwambieni ataishia jera
 
Na pengine wanajuta kumualika John wa kwanza, na zaidi kumruhusu "kusalimia". Bahati mbaya salamu zikawafikia hasa. Waendelee kumualika Mzee EL tu, hawa wengine " wanaharibu" shughuli.
... disco limeingia mmasai ... Mbowe, Lissu, na Mnyika ndio wafia chama pekee wa dhati waliobaki. Halafu jamaa hachagui muda wala mahali pa "kupiga"; inapotokea nafasi adhimu kama hivi yeye ni nyundo tu haijalishi yuko wapi. Huyu jamaa kuchwa sana.
 
Hii battle ya leo imenikumbusha Battle of New Orleans mwaka 1814 by John Horton.

Cc Malcom Lumumba Daudi Mchambuzi Jon Stephano Sky Eclat Ngalale UncleBen kirikou1
1545224945533.jpeg


Battle of New Orleans 1814 America had 70 casualties while British had 2,000 casualties.
 
HII ITAKUWA NZURI SANA KILA RAIS AKIHUTUBIA WATU KILA CHAMA KIJE NA SARE ZAKE .MAANA KUNA VYAMA HATA SARE HATUZIJUI .AFU PIA WATAONEKANA LIVE TBC NA WAKIPEWA NAFASI YA KUSALIMIA WANAPIGA SIASA PIA INAPUNGUZA KERO NA POLICE ,NATEGEMEA MKUTANO UJAO KUMUONA RUNGWE,NA WAFUASI WAKE ..NB USISAHAU SARE # Tuache dharau
 
Hukumuona JJ Mnyika aliposimama na Kumsujudia Rais Magufuli?!...... Unajua maana ya kusujudu kiitifaki na kiimani!.......ndio maana kila siku Lowassa anawapa darasa sema mna vichwa vigumu!......na ndio maana mtu anaruka dhamana kwa mambo yake binafsi mnamuita mfungwa wa kisiasa Ufipa ni bure kabisa!
Wahitaji kutulia na kupata muda wa 'kupumua' japo kidogo. Itakusaidia kutafakari na kurudi kwenye mada.

Nadhani nawe ulishuhudia Azam TV/TBC, John Jiwe alivyojikuta anatafuta utukufu binafsi hata akawatosa WASTAAFU walomfikisha hapo anapojivunia leo.
 
Back
Top Bottom