nimesoma pia kwenye biblia na kukutana na jina la kimombo peter ambaye kwa kiswahili ni petro. peter wa kwenye biblia alikuwa mwanafunzi imara wa Yesu na alikuwa tayari kufa kuitangaza injili, hakuwa na tamaa za kisiasa, hakuwa mpotoshaji, hakuwa mropokaji , alijawa na hekima tele, alihubiri injili mpaka mauti yake. tofauti ya peter wa kwenye biblia na huyu tuliyenaye ni kwamba peter huyu ni mchunguji aliyetoka kwenye uchungaji kwa tamaa za kisiasa, hayupo radhi kufia kwenye dini akitangaza injili, ni mpotoshaji na ni mropokaji, na kapungukiwa hekima ya kuamua na kutenda.
nimetafakari na kujua kuwa sio kila peter ni petro wengine ni petroli