Kumbe akina tundu lisu bado wapo wengi tu, ni swala la timing tu. Kwakweli JJ kampatia sana.Nimewahi kumsoma Yohana Mbatizaji kwenye Biblia. Yule ambaye kwa kimombo huitwa John the Baptist. Lakini leo pia nimepata bahati ya kuwasikia John wawili wakitoa hotuba.
John mmoja ametoa hotuba fupi sana, nzito sana, ya kinyenyekevu sana lakini ya kijasiri sana. Kwa uzito wa hotuba ya John wa kwanza, imelazimu hotuba ya John wa pili kuwa ndefu sana.
Niliposikia hotuba ya John wa pili nikagundua kuwa hotuba ya John wa kwanza ni kama imefanya ubatizo kwa hotuba ya John wa pili....maana maneno mengi ya hotuba ya John wa Pili yametokana na maneno machache tu ya hotuba ya John wa kwanza.
Wote ni John.... lakini kumbe sio kila John ni Yohana!!!.
Umeshafelinimesoma pia kwenye biblia na kukutana na jina la kimombo peter ambaye kwa kiswahili ni petro. peter wa kwenye biblia alikuwa mwanafunzi imara wa Yesu na alikuwa tayari kufa kuitangaza injili, hakuwa na tamaa za kisiasa, hakuwa mpotoshaji, hakuwa mropokaji , alijawa na hekima tele, alihubiri injili mpaka mauti yake. tofauti ya peter wa kwenye biblia na huyu tuliyenaye ni kwamba peter huyu ni mchunguji aliyetoka kwenye uchungaji kwa tamaa za kisiasa, hayupo radhi kufia kwenye dini akitangaza injili, ni mpotoshaji na ni mropokaji, na kapungukiwa hekima ya kuamua na kutenda.
nimetafakari na kujua kuwa sio kila peter ni petro wengine ni petroli
Nimewahi kumsoma Yohana Mbatizaji kwenye Biblia. Yule ambaye kwa kimombo huitwa John the Baptist. Lakini leo pia nimepata bahati ya kuwasikia John wawili wakitoa hotuba.
John mmoja ametoa hotuba fupi sana, nzito sana, ya kinyenyekevu sana lakini ya kijasiri sana. Kwa uzito wa hotuba ya John wa kwanza, imelazimu hotuba ya John wa pili kuwa ndefu sana.
Niliposikia hotuba ya John wa pili nikagundua kuwa hotuba ya John wa kwanza ni kama imefanya ubatizo kwa hotuba ya John wa pili....maana maneno mengi ya hotuba ya John wa Pili yametokana na maneno machache tu ya hotuba ya John wa kwanza.
Wote ni John.... lakini kumbe sio kila John ni Yohana!!!.
Rais anayejiamn lazima awe tayr kubadilika kulingana na mazingira.... kwaakili yako ulitaka asimjb????? Ili mseme
Magufuli ni noooooma saan
Prof J ana ufahamu kuliko Chadema wote wa ubungo na kibamba!
Alipotajiwa tu Jaji Werema mbunge Mnyika alisimama na kumsujudia Rais Magufuli..... Ulielewa maana yake au unakunywa mbege tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio kila POMBE ina kirevi, nyingine zina arikohoriNimewahi kumsoma Yohana Mbatizaji kwenye Biblia. Yule ambaye kwa kimombo huitwa John the Baptist. Lakini leo pia nimepata bahati ya kuwasikia John wawili wakitoa hotuba.
John mmoja ametoa hotuba fupi sana, nzito sana, ya kinyenyekevu sana lakini ya kijasiri sana. Kwa uzito wa hotuba ya John wa kwanza, imelazimu hotuba ya John wa pili kuwa ndefu sana.
Niliposikia hotuba ya John wa pili nikagundua kuwa hotuba ya John wa kwanza ni kama imefanya ubatizo kwa hotuba ya John wa pili....maana maneno mengi ya hotuba ya John wa Pili yametokana na maneno machache tu ya hotuba ya John wa kwanza.
Wote ni John.... lakini kumbe sio kila John ni Yohana!!!.
Mh ngoja tusubiri, inasemekana Mh. Msigwa ana kesi ya ubakaji, very soon atapelekwa mahakamani. Anasikitisha, mchungaji unabaka?
Jonii jonii... Yes paapaaa....Joniiii
Ahaahaaa yohane wa kwanza ilikua ni Saut ya mtu aliye nyikani" naye yanena maneno yalio makuu yalio Fanya yule mnyama kukasirikaNimewahi kumsoma Yohana Mbatizaji kwenye Biblia. Yule ambaye kwa kimombo huitwa John the Baptist. Lakini leo pia nimepata bahati ya kuwasikia John wawili wakitoa hotuba.
John mmoja ametoa hotuba fupi sana, nzito sana, ya kinyenyekevu sana lakini ya kijasiri sana. Kwa uzito wa hotuba ya John wa kwanza, imelazimu hotuba ya John wa pili kuwa ndefu sana.
Niliposikia hotuba ya John wa pili nikagundua kuwa hotuba ya John wa kwanza ni kama imefanya ubatizo kwa hotuba ya John wa pili....maana maneno mengi ya hotuba ya John wa Pili yametokana na maneno machache tu ya hotuba ya John wa kwanza.
Wote ni John.... lakini kumbe sio kila John ni Yohana!!!.
Tatzo tushazoea kuona viongozi wameandaliwa hotuba sasa kwani kilibadilika nini????Rais angetakiwa kumjib lakin sio kuazamia hulo kias kwamba akaacha mpaka hotuba ya uzinduzi. Means rais ana tatizo la ku control emotions zake. Hata kama hakupenda alichosema mnyika ..angejib kawaida tu.. si kwa aina ile.
Jonii jonii...yes papaaJonii jonii... Yes paapaaa....
Eat sugar.... No papaya
Open your mouth [emoji105]....
Hahahaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kabinti alibaka, mchakato unamaliziwaHaha hiyo umetunga ww mzee. Eti kesi ya kubaka hahhaha. Kesi ya kijinga sana.
Tafuteni kesi za manaa.. hiyo ni ya kitoto
Kuna kabinti alibaka, mchakato unamaliziwa
Tatzo tushazoea kuona viongozi wameandaliwa hotuba sasa kwani kilibadilika nini????
Kwan mambo aliyouliza mnyika yalikuwa nje na shughuli husika kama siyo moja tu
Inasikitisha sana tena mchungajiHiyo ni yako mkuu. Sijawahi sikia kabisa toka jamaa awe mbunge. Na kama ni kweli najua ccm wangeitumia kama fimbo ya kumchapia.
Why mahakama iko kimya kuhusu hili?
Tengeneza kesi kubwa kubwa. Hiyo yako bado sana aisee.
Kweli kabsa👊Rais anayejiamn lazima awe tayr kubadilika kulingana na mazingira.... kwaakili yako ulitaka asimjb????? Ili mseme
Magufuli ni noooooma saan