Ynakuhusu hakuna mambo binafsi pete zinamaana yake tokea zamani!hayo ni mambo binafsi... acha kumpa shetani nguvu za ziada urasa
Jamani,hadi pete tunaangalia mwaka huuu?
kazi kweli kweli,but that is private hata akivaa hamsini it doesn't make him a good or a bad leader kwa kuvaa pete labda kama zina husiana na masuala ya kiroho
Wakuu mwenye elimu juu ya umuhimu na matumizi ya pete za aina mbalimbali atumwagie hapa...... Hii itatuwezesha kufanya objective explanation about JK's triple rings!!!!! Isije ikawa labda kavalia urembo tu wakuu.
dume zima avae kama urembo?una maana tupo kwenye mashindano ya urembo?na jamaa anajaribu kuonyesha ulimbwende wake kwa kuvaa pete nyingi?wakuu mwenye elimu juu ya umuhimu na matumizi ya pete za aina mbalimbali atumwagie hapa...... Hii itatuwezesha kufanya objective explanation about jk's triple rings!!!!! Isije ikawa labda kavalia urembo tu wakuu.
Mambo binafsi hukaa kibinafsi.....kuvaa pete ya aina yeyote si jambo binafsi bali ni kutoa ujumbe kwa jamii kuwa wewe ni mtu wa aina gani...aidha una PhD,Padri,umeoa,umechumbiwa,shoga,una majini nk.....kazi ya pete ni kutoa message basi na wala si swala binafsi
Kwa hiyo one ring one message or some kind of supernatural protection? Lakini shehe Yahya katwambia ana jíni la kike so inawezekana moja ya ndoa, ya pili ya PhD ya mezani na ya tatu ni jini la kike
leo hii umwone mwanaume au mke aliye kwenye ndoa hataki kuvaa pete unapata taswira gani?na ikiwa unavaa pete nyingi ingekuwa kwa upunde wa mwanamke tungesema ni urembo.sasa dume zima unapojishindilia mapete vidole lazima waungwana tuhoji kulikoni?