Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,731
- 749
Waliachiwa urithi wa mzee Yahya Ebo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BW bahati gani tena wakati tayari mpaka walipo wameshabahatika.
Imani yangu kuna baadhi ni urembo hasa ufahari na wengine ushirikina tu.
onyesha ugamba wako mzee,kuna pete hata mia sio issue,as long tunauhakika zina maana sahihi either kidini, kiutamaduni, n.k. kuna wanaume wengu tu hapa mjini wengine wanajiita mapapa wanavaa pete zaidi ya mbile za dhahabu+silver+ vifuu+shells n.k mbona hatushangai au kuanzisha mada kuhusu hao watu?
kavaa JK tu imekuwa tatizo. nadhani tuna mambo mengi ya ku zungumzia apart from personal life/beliefs.
Mbona kama vile una majibu tayari kwa maswali yako? Yote ni ndiyo.Nimekuwa nikiwafuatilia wanasiasa wengi hasa wa ccm wanavaa pete kubwa kubwa ambazo inadaiwa zinawalinda dhidi ya nguvu za giza,je wanasiasa hawa wanaamini ushirikina kiasi hicho? Na je hii ndio inafanya imani hizo zisipungue nchini? Na nina swali kwa viongozi,wanahisi nani atawaroga,sisi wananchi au wanahofu ya kurogana wao kwa wao?
Umejuaje kama ni za majini??Nimekuwa nikiwafuatilia wanasiasa wengi hasa wa ccm wanavaa pete kubwa kubwa ambazo inadaiwa zinawalinda dhidi ya nguvu za giza,je wanasiasa hawa wanaamini ushirikina kiasi hicho? Na je hii ndio inafanya imani hizo zisipungue nchini? Na nina swali kwa viongozi,wanahisi nani atawaroga,sisi wananchi au wanahofu ya kurogana wao kwa wao?
Waliyafukuza katika karne ya kumi na sita walipoamua kuwachoma moto wachawi wote. Naona yalikimbilia Afrika na Arabuni.Kwa nini hayo majini hayapo ulaya kwa wazungu?
Nimekuwa nikiwafuatilia wanasiasa wengi hasa wa ccm wanavaa pete kubwa kubwa ambazo inadaiwa zinawalinda dhidi ya nguvu za giza,je wanasiasa hawa wanaamini ushirikina kiasi hicho? Na je hii ndio inafanya imani hizo zisipungue nchini? Na nina swali kwa viongozi,wanahisi nani atawaroga,sisi wananchi au wanahofu ya kurogana wao kwa wao?
Hizo pete zinavaliwa ma Masheikh/Waislam na Ma-Askofu.
CCM hatuna huo ujinga....
Hizo pete zinavaliwa ma Masheikh/Waislam na Ma-Askofu.
CCM hatuna huo ujinga....
Kikwete anayo hiyo pete anavaa mkono wa kulia na wa kushoto....nae kawa shehe au askofu?