Pete hizi mikononi mwa viongozi wetu wakuu ni za nini?

Aqiq ring- A carnelian or Agate ring worn by some Muslims, especially Shi'ah, in imitation of Muhammad and the twelve Imams.
 
Jamani,hadi pete tunaangalia mwaka huuu?
kazi kweli kweli,but that is private hata akivaa hamsini it doesn't make him a good or a bad leader kwa kuvaa pete labda kama zina husiana na masuala ya kiroho
 
Jamani,hadi pete tunaangalia mwaka huuu?
kazi kweli kweli,but that is private hata akivaa hamsini it doesn't make him a good or a bad leader kwa kuvaa pete labda kama zina husiana na masuala ya kiroho

Pete ni uhimu sana mkuu....inakuwezesha kumuelewa mtu....mfano bila pete za ndoa watu wengi wanepoteza meno kwa vipigo sababu ya kuparamia mizigo ya watu....sasa za huyu jamaa pengine ni za yule shehe....
 
Ama kweli dimbwi limevamiwa... wanajamvi wengi waliojiunga kuanzia september 2010 wanafanana sana kimtazamo... pro CCM-Mafisadi
 
Wataalam wanaamini kuwa mtu yeyote anaevaa mapete mengi mkononi, anaonesha jinsi asivyojiamini na kwahiyo ana walakini akilini mwake!!
 
leo hii umwone mwanaume au mke aliye kwenye ndoa hataki kuvaa pete unapata taswira gani?na ikiwa unavaa pete nyingi ingekuwa kwa upunde wa mwanamke tungesema ni urembo.sasa dume zima unapojishindilia mapete vidole lazima waungwana tuhoji kulikoni?
 
Wakuu mwenye elimu juu ya umuhimu na matumizi ya pete za aina mbalimbali atumwagie hapa...... Hii itatuwezesha kufanya objective explanation about JK's triple rings!!!!! Isije ikawa labda kavalia urembo tu wakuu.
 
Kwani yeye ni mrembo? suala ni why add another one in October 2010?
 
moja ni ya shehe yahya na nyingine anaringishia kuoa dogodogo ..........:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

habari hii kwenye mabano usimwambie mtu...(( ni mtoto wa meghji))
 
wakuu mwenye elimu juu ya umuhimu na matumizi ya pete za aina mbalimbali atumwagie hapa...... Hii itatuwezesha kufanya objective explanation about jk's triple rings!!!!! Isije ikawa labda kavalia urembo tu wakuu.
dume zima avae kama urembo?una maana tupo kwenye mashindano ya urembo?na jamaa anajaribu kuonyesha ulimbwende wake kwa kuvaa pete nyingi?
 
landscape-rings-1.jpg
 
Mambo binafsi hukaa kibinafsi.....kuvaa pete ya aina yeyote si jambo binafsi bali ni kutoa ujumbe kwa jamii kuwa wewe ni mtu wa aina gani...aidha una PhD,Padri,umeoa,umechumbiwa,shoga,una majini nk.....kazi ya pete ni kutoa message basi na wala si swala binafsi

Kwa hiyo one ring one message or some kind of supernatural protection? Lakini shehe Yahya katwambia ana jíni la kike so inawezekana moja ya ndoa, ya pili ya PhD ya mezani na ya tatu ni jini la kike
 
Kwa hiyo one ring one message or some kind of supernatural protection? Lakini shehe Yahya katwambia ana jíni la kike so inawezekana moja ya ndoa, ya pili ya PhD ya mezani na ya tatu ni jini la kike

Huyu si ana ndoa nyingi sasa pete si zinakuwa nyingi pia?
 
Mwanamume wa Kiisalmu anapaswa kuvaa moja ya hizi....gold marufuku kwa mwanamume kwa kuwa hupunguza nguvu za kiume..JK anayo moja ya Gold mkono wa kulia

islamic%20articraft.gif
 
Hii habari ya kuvaa pete hata nami inanishangaza kwani JK hapo mwamzo hakuwa nazo hizo pete na hata ringi analovaa mkononi siku hizi kama wavaaavyo Wasukuma,nilizoea kumuona na pete moja sasa hii ya kuvaa pete tatu ni jambo la kushangaza hasa katika kipindi hiki ambacho anaandamwa na kashfa ambayo hakutaka kukanusha ya kuwa na ulinzi wa nguvu za giza toka kwa shehe Yahaya.

Kama ni urembo kwanini hakuwa anavaa kabla ya hapo?Au kaoa hivi karibuni bila watu kuwa na taarifa?

Majibu ya maswali haya wana JF tutayapata baada ya tarehe 31 mwezi huu.
 
leo hii umwone mwanaume au mke aliye kwenye ndoa hataki kuvaa pete unapata taswira gani?na ikiwa unavaa pete nyingi ingekuwa kwa upunde wa mwanamke tungesema ni urembo.sasa dume zima unapojishindilia mapete vidole lazima waungwana tuhoji kulikoni?

Hakuna taswira yoyote. Mimi niko kwenye ndoa na sijawahi kuvaa pete baada ya kugundua kuwa haya mambo ya pete ni unafiki tu na kulishana upepo. Unakuta mtu ana pete ya ndoa na bado anamega/megwa tu kama kawa.

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom