Pete hizi mikononi mwa viongozi wetu wakuu ni za nini?

Calnde

JF-Expert Member
Oct 7, 2008
1,373
277
Wakuu wikiendi ndo hiyoo inayoyoma ila nina swali naomba msaada.
Nimeona, hasa kwa viongozi wetu wakuu ukianzia kwa mkuu mwenyewe,wasaidizi wake, baadhi ya wabunge na wakuu wa mikoa wana pete flani kubwa kwenye vidole vyao ukiachilia mbali pete za ndoa. Hili pia nimeliona kwa maaskofu wa KKKT na Anglican. Please kwa yeyote ajuae maana na sababu ya kuvaliwa kwa pete hizi nielimishwe.
 
Kiongozi Calnde;

Have you heard anything before about Freemasons?

Some are having connections to that syndicate!
 
Kiongozi Calnde;

Have you heard anything before about Freemasons?

Some are having connections to that syndicate!

Ive passed by that thread! So wote wanaovaa wanaconnection! if not all are having that connection what can be other reason?And what about our top leaders! What about those religious leaders i mentioned!!?
 
I support as well 100% to be satanic affiliation symbols in detail masonic brothers and masters
 
Hakuna sababu yeyote nyingine, hayo mapete yana "connection to the occult".Tena kiongozi yeyote wa dini asikudanganye,wengi siku hizi washenzi tu.

Sheikh Yahya naye anauza mapete hayo.Pia yapo makampuni mengi yakishetani yanayouza pete hizo.Kuona sampuli nenda Celtic Rings, Spinner Rings, Witch Rings, Pagan Rings, Poison Rings, Pagan Wedding Rings from CyberMoon Emporium WitchCraft Supplies and WitchCraft Store, Wicca Supplies, Wicca Store, New Age Supplies, Occult Supplies, Occult Store, Metaphysical Supp
 
Tungepata picha ya karibu tuzikague hizo pete ingesaidia. I've never been close to any leader.
 
I support as well 100% to be satanic affiliation symbols in detail masonic brothers and masters

In addition today I was informed that the Roman Catholic leaders; priest, bishops, arch-bishops wanavaa pete kama tunu ya agano lao na Mungu. This is nicest of course but hizi kubwa kubwa za kimason no NO.
 
Could it possibly be just urembo? Could it possibly be just college rings? Could it possibly be the above mentioned, ie satanic affiliations, fremasonry etc?

Or ........could it possibly pete hizo zimewkwa kinga fulani? Viongozi wengi ukitrace back wametoka katika familia za kichifu, za kiutawala, za kiufalme, za kivita etc Musuguri alivyoitwa "Mti Mkavu" (kama sijakosea) vitani na Iddi Amin "Dada" unadhani ilikuwa hivihivi tuu?
 
Wakuu wikiendi ndo hiyoo inayoyoma ila nina swali naomba msaada.
Nimeona, hasa kwa viongozi wetu wakuu ukianzia kwa mkuu mwenyewe,wasaidizi wake, baadhi ya wabunge na wakuu wa mikoa wana pete flani kubwa kwenye vidole vyao ukiachilia mbali pete za ndoa. Hili pia nimeliona kwa maaskofu wa KKKT na Anglican. Please kwa yeyote ajuae maana na sababu ya kuvaliwa kwa pete hizi nielimishwe.

Kwa Maaskofu uliwataja pete hizo ni za kichungaji na ndo maana huvaliwa na maaskofu tu na tena ukiziangalia kwa mkini utaona zinafanana.

Lakini kwa upande wa viongozi na vigogo vingine ni ishara ya mambo mengineyo, mojawapo ni kuhusishwa na mambo ya giza ili kupata bahati au ulinzi lakini pia kwa wengine ni prestige tu na ndo maana si vema kuiga-iga mambo ati kwa kuwa fulani anafanya hivi nawe ufanye. You need to think twice, thrice or more.
 
url

url

url

url

WanaJF naomba msaada hivi kwani hawa watu wanavaa pete kubwa mkono wa kulia? kwanini wanavaa pete mbili? hizi pete zina maana gani? imani zetu ndo zinaturuhusu kuvaa pete mbili na kubwa?
 
Ni za horoscope hizo, ambazo kwa mtu mwenye imani ya ukweli hizo ni kama MADHABAHU ya bandia, ni kuamini kitu hicho kwamba kitakusaidia kuliko Mungu muumbaji!...what ana insult to God!...
Ni kama kumvalisha mtoto zile "condenser" nyeusi shingoni!...huh!
 
Nachukia majibu yako ndugu kikwete,sio lazma uchangie kila topic humu,tunakujua na tunajua misimamo yako,hiyo pete ni pumbaza mjinga mnadanganywa na waganga wenu kuwa inawapa utajiri na kulinda nyota yenu mmh!big shame,ndio maana unaanguka kila siku na utakufa soon stupid!
 
Shehe Yahya Hussein Juzi kasema kwa uwazi kabisa kwamba Kamuongezea Kikwete ulinzi usioonekana , kutokana na kushambuliwa na nguvu za majini, uchawi na mapepo.

anasema anamuongezea............maana yake tangu awali muugwana ana Kinga za kishirikina, mshiriki wa ibada za kichawi , anazopewa na Shehe Yahya Hussein.

na hakuna hata siku moja mambo haya yakakanushwa na JK Mwenyewe, na hawezi kuwa na ujasiri huo kwa sababu anavaa hirizi(Pete ya kulia) ili imuongezee nguvu.

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom