Pete hizi mikononi mwa viongozi wetu wakuu ni za nini?

Ujasikia baadhi ya wanasiasa huwa ni wateja wazuri wa sangoma.....nilishangaa kusikia pia kuwa mauaji ya albino yanaongezeka kuelekea kipindi cha uchaguzi.
 
Nimekuwa nikiwafuatilia wanasiasa wengi hasa wa ccm wanavaa pete kubwa kubwa ambazo inadaiwa zinawalinda dhidi ya nguvu za giza,je wanasiasa hawa wanaamini ushirikina kiasi hicho? Na je hii ndio inafanya imani hizo zisipungue nchini? Na nina swali kwa viongozi,wanahisi nani atawaroga,sisi wananchi au wanahofu ya kurogana wao kwa wao?

Ukitaka kujua utamu wa ngoma laZima uingie ucheze, karibu CCM ndio utapata kila jibu unalotaka ... Karibu Sana Mkuu... ImageUploadedByJamiiForums1411322592.431560.jpg
 
Makamanda nimerudi! Walitaka kunizima kama kibatari,wasijue kuwa huu ni mzimu wa ukombozi wa ii. Makanda no hofu nimerudi jarambani.
 
Waliyafukuza katika karne ya kumi na sita walipoamua kuwachoma moto wachawi wote. Naona yalikimbilia Afrika na Arabuni.

nimecheka sana kwa comment yako, unachosema ni kweli kabisa, cheki eti tunaua mpaka wenye ulemavu wa ngozi eti ndo unapata pesa, imani potofu!
 
Nyie star times inamaana mpaka sasa hivi usiku hiyo miale ya jua haijaisha tupate matangazo yenu?
 
Nimekuwa nikiwafuatilia wanasiasa wengi hasa wa ccm wanavaa pete kubwa kubwa ambazo inadaiwa zinawalinda dhidi ya nguvu za giza,je wanasiasa hawa wanaamini ushirikina kiasi hicho? Na je hii ndio inafanya imani hizo zisipungue nchini? Na nina swali kwa viongozi,wanahisi nani atawaroga,sisi wananchi au wanahofu ya kurogana wao kwa wao?

Una uhakika gani mkuu? Haya mambo ni personal sana.Sikatai ndio wapo wanaoamini ktk hayo lakin ujue watu wa M.Mungu pia wapo na kama unawajua wenye hizi pete weka mambo hadharan tuwasih wakaombewe.
 
Nimekuwa nikiwafuatilia wanasiasa wengi hasa wa ccm wanavaa pete kubwa kubwa ambazo inadaiwa zinawalinda dhidi ya nguvu za giza,je wanasiasa hawa wanaamini ushirikina kiasi hicho? Na je hii ndio inafanya imani hizo zisipungue nchini? Na nina swali kwa viongozi,wanahisi nani atawaroga,sisi wananchi au wanahofu ya kurogana wao kwa wao?

Si CCM tu bali karibia ya viongozi wengi hapa Tanzania ni washirikina. Subiria mwakani mtasikia tu maalbino wengi wanaokotwa vichakani ama kuibwa mitaani kwenda kufanyiwa maghafara ya viongozi kwa ajili ya uchaguzi mkuu. Mmeshawahi kujiuliza kwa nini serikali haikemei uuwaji maalbino? Sasa subirini watu/mawakala wa maalbino kushika kasi mwakani.
 
Waliyafukuza katika karne ya kumi na sita walipoamua kuwachoma moto wachawi wote. Naona yalikimbilia Afrika na Arabuni.

Niliwahi kuisikia hii story,japo sina details zake,lakini nasikia walikuwa wanauwawa kikatili haswa,i assume baada ya kuwauwa ndipo sayansi ikashika kasi,tanzania pia inabidi tuwashughulikie wachawi(ccm)ili tuanze maendeleo ya kisayansi
 
Mzizi mkavu njoo uchangie tafadhali,wana jf wote tuanze utafiti,angalia vidole vya kiongozi wa ccm kama ana lipete mwaga jina lake hapa
 
Last edited by a moderator:
Mzizi mkavu njoo uchangie tafadhali,wana jf wote tuanze utafiti,angalia vidole vya kiongozi wa ccm kama ana lipete mwaga jina lake hapa
 
Last edited by a moderator:
Nyie mods ile comment yangu kwa nini mumeikata baadhi ya maneno?
Siruhusiwi kuhoji na kupata uhalali wa kisemwacho humu jf?
 
Back
Top Bottom