Pete hizi mikononi mwa viongozi wetu wakuu ni za nini?

Ni maelekezo kutoka Ngende na Mlingotini Bagamoyo. Albino watawindwa sana sasa kuliko wakati mwingine wowote na hao wanasiasa.
 
In addition today I was informed that the Roman Catholic leaders; priest, bishops, arch-bishops wanavaa pete kama tunu ya agano lao na Mungu. This is nicest of course but hizi kubwa kubwa za kimason no NO.

Mmmmh pete za maagano????
 
Mh. Rais J.K akisalimiana na Waziri wa Maliasili Mh. Maige. Je pete hii ktk picha aliyovaa Mh. Raisi ni ya kusafisha nyota ya CCM na nchi kuwa vipande-vipande?

Aisee Mwanaume akivaa pete kidolegumba na kidole kinachofuata kidole gumba ni utata mtupu
 
Naomba kufahamishwa hizi pete zenye rangi mbalimbali, maumbo na ukubwa mbalimbali;
1. Zinafanya kazi gani?
2. Zinatolewa na mamlaka gani?
3. Zina faida na hasara gani?

Kwa muda mrefu nimeona viongozi wengi wakubwa mf mgombea mmoja wa uraisi mwaka uliopita alikuwa na pete yenye alama ya fuvu, na pia nimemuona kiongozi mmoja wa dini akihojiwa TBC1 akiwa na pete tatu zenye muonekano tofauti. Pia wafanyabiashara wakubwa hasa wa asili za Ki_Asia wakiwa na pete zenye maumbo, mnyumbuliko na rangi tofauti.

Kama zinafaida kwa nini wasitufunze na sie waumini wao kuneemeka kupitia hayo mapete? Je, hizo pete zinafaida kiroho/kiuchumi kwa wavaaji au ni urembo tu? Kama ni urembo tu, kwa nini wasivae pete za ndoa pekee?

Elimu haina mipaka
 
hapa watakuja wanaokisia tu....
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom