Pete hizi mikononi mwa viongozi wetu wakuu ni za nini?

Mwanamume wa Kiisalmu anapaswa kuvaa moja ya hizi....gold marufuku kwa mwanamume kwa kuwa hupunguza nguvu za kiume..JK anayo moja ya Gold mkono wa kulia

islamic%20articraft.gif

yesuu na maria...! mbona zinatisha..???
 
kuna pete hata mia sio issue,as long tunauhakika zina maana sahihi either kidini, kiutamaduni, n.k. kuna wanaume wengu tu hapa mjini wengine wanajiita mapapa wanavaa pete zaidi ya mbile za dhahabu+silver+ vifuu+shells n.k mbona hatushangai au kuanzisha mada kuhusu hao watu?
kavaa JK tu imekuwa tatizo. nadhani tuna mambo mengi ya ku zungumzia apart from personal life/beliefs.
 
kuna msemo wa kifilosofia unaosema:you must doubt in everything,jamani mwangalie sasa kikwete kwenye mkono wake wa kushoto ameongeza pete nyingine na kufanya idadi ya pete zake vidoleni kuwa tatu,kulikoni haswa wakati huu wa uchaguzi?

Tatizo nini kwani.. nafikiri ni uamuzi wa mtu kuvaa hata pete 5. kama itakuwa inaamanisha vingine labda kwa jadi za kwenu au kwa mambo unayoamini wewe, hiyo ni wewe tu! mbona kuna watu nawaona wanavaa pete hadi vidole vya miguuni.
 
leo hii umwone mwanaume au mke aliye kwenye ndoa hataki kuvaa pete unapata taswira gani?na ikiwa unavaa pete nyingi ingekuwa kwa upunde wa mwanamke tungesema ni urembo.sasa dume zima unapojishindilia mapete vidole lazima waungwana tuhoji kulikoni?

Mhh siku hizi ni imani ya shetani tu mtu akikaa kajinyoosha kwa poziii mbona yule kavilea kaa kishetani jamani jamani kumbe mtu pozii tu haha mhh du
 
sasa hiyo ya Mkono wa kushoto aliyoongeza Juzi ndio aliyopewa na huyu mzee hapa. mambo ya ULINZI.
sheikh-yahyabc.jpg
 

Mh. Rais J.K akisalimiana na Waziri wa Maliasili Mh. Maige. Je pete hii ktk picha aliyovaa Mh. Raisi ni ya kusafisha nyota ya CCM na nchi kuwa vipande-vipande?
 
Inawezekana mkuu,ngoja asafishe atuongezee ajira vijana tunaumia huku vijiweni hakuna kazi
 
Mkono wa kulia pete mbili! Hivi wa mkono wa kushoto pia kuna mipete mingine?
 
Ha ha haaa, umenikumbusha rafiki yake anayempa ulinzi sheikh yahya!!!:lol::lol:
 
Jamani naombeni kujuzwa juu ya wanasiasa kuvaa pete kubwa kubwa. Baadhi hawakuwa nazo siku za nyuma mf W/Mkuu Pinda, mama Tibaijuka, Halima Mdee, Dr Kikwete, Mkulo etc.

Siri ni nini?
 
Jamani naombeni kujuzwa juu ya wanasiasa kuvaa pete kubwa kubwa. Baadhi hawakuwa nazo siku za nyuma mf W/Mkuu Pinda, mama Tibaijuka, Halima Mdee, Dr Kikwete, Mkulo etc.

Siri ni nini?

Hujatenda haki,mbona hukumweka Malima?? Wakati akimalika pale hotel Nashera alichapwa na pete zake nyingi ila cha ajabu ni kuwa wakati asubuhi anahojiwa akawa anazo nyingine mbili kuubwaa!!

Funika bovu ni jahkaya,anavaa mpaka bangiri mikononi(brass),nina imani ukiachilia hao wakike basi wapo wakiume wanavaa mpaka shanga kiunoni!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom