Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,357
Ni mapepo ya kishirikina ndio maana anaanguka anguka kila mara.[/B]
Na hizi alipewa na Mchungaji/mtume/mtumishi/askofu/mwalimu/dokta isack ndodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mapepo ya kishirikina ndio maana anaanguka anguka kila mara.[/B]
nafikirie usilte hoja hiyo. kwani ktk ukiristo zina nini hasa?
nafikirie usilte hoja hiyo. kwani ktk ukiristo zina nini hasa?
nataka nilinganishe ya dk slaa kama mkiristo na huyo bibi uliemleta hapo
Ni za horoscope hizo, ambazo kwa mtu mwenye imani ya ukweli hizo ni kama MADHABAHU ya bandia, ni kuamini kitu hicho kwamba kitakusaidia kuliko Mungu muumbaji!...what ana insult to God!...
Ni kama kumvalisha mtoto zile "condenser" nyeusi shingoni!...huh!
Bwana Mungu asema, Mini Bwana Mungu wako usabudu miungu wengine, Tazama mimi ni Mungu mwenye wivu.
Hivyo wale wote wanaoabudu miungu mingine kama shehe Yahya (ambaye anajifanya nae kuwa mungu mdogo afanyae kazi katika ulimwengu wa giza), Bwana Mungu asema atawapatiliza maovu yenu juu yenu hata kizazi cha pili na cha tatu cha wote wamchukiao (wasiemwabudu yeye katika kweli na roho)
na hii pete inatumika chadema?
hayo ni mambo binafsi... acha kumpa shetani nguvu za ziada urasa
sheikh yahaya yupo kazini
sheikh yahaya yupo kazini
Shetani amejitoshereza kwa kila jambo na hasa kama una imani haba kwa mwenyezi Mungu, mpe haki yake Mungu. Shetani ameonekana kukuteka na unaamini jambo ambalo hujaliweka wazi kuhusu pete hizo tatu. Mkapa alikuwa anavaa mkufu wa dhahabu shingoni na hadi sasa anavaa lakini hilo halikumzuaia kufanya kazi ya maendeleo kwa watanzania,na hatuwezi kujua pengine hata wagombea wengine wanavaa pete na hata mikufu lakini haijaonekana hadharani kama ilivyotokea kwa hawa wengine.
Sina maana tusijadili lakini tunahitaji kuweka vipaumbele vya maoni yetu wakati huu zimebaki siki 10 kuelekea uchaguzi mkuu. Tunahitaji kujadili kilicho bora zaidi ili tusijepitwa na matukio muhimu ya kitaifa ambayo ni zaidi ya mjadala wa pete tatu.