mwanakwetuu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 407
- 807
Rais hapangiwi ?shame sanaRais hapangiwi. Usitake Rais Magufuli afanye vitu kwa matakwa yenu. Leo atamwachia Kabendera kesho mtataka amwachie mwingine. Pia kutoa mfano wa wabakaji kuachiwa huo ni upuuzi. Hata Yesu aliwasamehe wazinzi ambapo kwa akili ya kibinadamu lilionekana ni kosa Kubwa na kuuwawa kwa mawe. Pia ndugu yangu njaa ujue Rais Magufuli ana vyombo vingi vya kiuchunguzi tofauti na akili yako ndogo na kisheria uliyo nayo. Rais ana wataalam wasomi mahiri wengi wa kumshauri iwe wewe na katambaza, kailboru na kadigrii kako kamoja kasheri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app