Mjinga ni mama yako! Nilishakwambia kuwa kama huwezi kujibu just skip my post.Yani. Unamtaja Mungu kabisa kwenye ujinga na assumptions zako. Mungu umtajaye anaona wote. Na wewe pia. Mwovu mkubwa.

Hujaiumba dunia wala hata sisimizi.Poleni kwa kufiwa na mama lkn hiyo haiwezi kuwa sababu ya yeye kuachiwa, watamzika mama yake labda ataenda kutembelea kaburi siku moja akitoka, that’s life!
Hapa ndipo mnapoharibu sasa!Kusemehe kwake ni kitu kigumu Sana, lakini wauaji na wabakaji ni rahisi sana
Hatutaki msamaha wowote ule! Yule mama aliomba kijana wake asamehewe mpaka akamwaga machozi lakini watu wakakaza shingo, leo amefariki kwa kukosa huduma ndio watu waombe msamaha? HAKUNA ABAKI HUKO NA LI MSAMAHA LAKE!binadam wanafki sana, mara sheria itumike(mwishowe muulize kifungu gan kimetumika), mara Humanitarian reasons zitumike, huyo mama akiwa anaomba msaada ilihali mnajua mtoto wake yupo matatizon kuna waliojitokeza kumsaidia? Kama hamkujitokeza basi achen kujali wakati ameshaondoka( iwe mnajiita mpo nyuma ya. Kabendera ama against, mmeshindwa kuonyesha kua pamoja nae katika hili basi huo ni unafki): Hizo karma mnazotaja kumtisha nan? Kwamba nyie hamtakufa au!

Kiasi upo sawa mkuu ila kwa swala la Demokrasiaaaaa! hapana na siafiki kama ipo Tanzania hii, over.Sheria lazima ifuate mkondo wake, kipindi cha neema kilitolewa na kiliisha.
Tuziachie mamlaka husika ziamue!
Tanzania inaongozwa kwa haki, taratibu, sheria na demokrasia.
Kaka Paskali vipi? Unasema unamfahamu vizuri mwandishi Kabendera kama mwadishi wa habari halafu unaongelea kwa kirefu wasifu wako mpaka kufikia kuwa mwandishi wa habari huku ukiacha kuelezea kiundani wasifu wa Kabendera kama mwandishi wa habari.
So sad, so sad, so sad.Ila kila mtu ataonja mauti.
Hii haina tofauti na mgonjwa anahitaji chakula na hapo hapo unakila chakula hicho na yeye anakufa.
so sad.
Hata akifanya hivyo ni aibu, aache hivyo hivyo.
Ni sawa na mtu anaumwa hapewi dawa wala matibabu, ila akifa ndiyo matarumbeta, makamera , maturubahi nk.