Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!

Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!

kila kitu si siasa,hizi issue za kudhalilisha watoto zinzolikabili kanisa dunoa nzima sasa na wakatoliki wenyewe wanalalamika kwambapapa hachukui hatua anaficha madhambi,JE NI HABARI LEO,CCM AU SIRIKALI INAHUSIKA.yule pdre alomnajisi mtoto chuo kikuu kweye gari ni serekali imetunga au habari leo.anachotakiwa pengo kusema ni kuilazmisha serikali ithibitishe.HE WHO ALLEGE MUST PROVE

Mie nadhani Pengo kesha sema sasa serikali ionyeshe ukweli si wanao ? Juu ya shida ya Kanisa na ulawiti kwenye hili saga ni irrevent kabisa ndugu tuliza akili uone nisemayo .Hapa ni Madawa ya kulevya na Pengo katajwa sasa Papa na kulawiti wapi na wapi ?
 
Nadhani hapa hoja ni kua je ni kweli....na je hawezi kujua haki zake Kama kiongozi mkubwa Kama yeye anasingiziwa na je kwanini wasijitokeze nyie mnaokataa kumtetea kuprove kwa umma jamani haya mambo yapo na Chombo cha haki na mahakama kama amechafuliwa na ni clean why tryin to sympathize with the public..... It is an issue that needs to be addresed well na sio kutafuta huruma ya jamii.... It's typical legal matter.....MPOOO?


Ukipenda chongo huita kengeza:lol:

Unataka Pengo aanze mbona hakuna CCM akiwemo Kikwete alieye wahi kufungua kesi kutaka asafishwe baada ya kutajwa kwenye list of shame why awe Pengo wa kwanza ?
 
Hivi huyo mwenye hiyo list ya wauza unga kwa nini anaitunza sandukuni? Ni muda mrefu sasa watu wamebakia kuzungumzia list. Kwanini wasiwafikishe mahakamani hao wakosaji? Sasa akibaki kuturingishia list itatusaidia nini sie? Vijana wanaendelea kuharibikiwa kwa unga mtu anabaki kuzungumzia list tu badala ya kuwafunga waagiza madawa!
 
Hivi huyo mwenye hiyo list ya wauza unga kwa nini anaitunza sandukuni? Ni muda mrefu sasa watu wamebakia kuzungumzia list. Kwanini wasiwafikishe mahakamani hao wakosaji? Sasa akibaki kuturingishia list itatusaidia nini sie? Vijana wanaendelea kuharibikiwa kwa unga mtu anabaki kuzungumzia list tu badala ya kuwafunga waagiza madawa!

.
Jk ndio mwenyenayo. Hukusikia tokea miaka kibao akidai kuwa ana majina ya wauza unga? Usiri uliopo katika hiyo list ni kamtego kake. Yeyote anaejitokeza kuwa mwiba kwa serikali yake anamwongeza kwenye hako ka list kumfanya aanze kuhangaika na kujisafisha na kusahau kabisa habari za kuikosoa serikali ya jk.
.
 
Na kuzungumza kwa mafumbo kwa bwana Pengo bila kutaja source ya habari zake je?
Mkuu si nilkupa mfano ule wa EPA?

Kutaja source ya habari hiyo si ni sawa na kumwuliza mtu aliyemvujishia nyeti?

Si nilikwambia wale watu waliotoa habari za EPA na wao si walikuwa wakichunguzwa ili ijulikane kuwa habari hizo zime leak wapi?
 
Nakuunga mkono sana mkuu tena pamoja na miguu, askofu Koda alijaribu kusema wanamuonea wivu kwa maendeleo mwisho wa siku kanisa lilimkamata live bila chenga na sasa yupo mafunzoni kuendelea kuisoma imani zaidi. Waache Jk na wezake siwanafikiri kwa urefu wa viatu vyao kumbe wenzao wanafikri beyond that. Big up man for good analysis.

na mapadri wenye watoto,madem kibao wanawafanyeje?maana huku mtaani kwetu tumeshindwa kuwadhibiti
 
Wala si jambo la ajabu kwa viongozi wa kanisa kushiriki dili chafu. Kwahiyo hata Pengo inawezekana anauza dawa za kulevya. Hebu someni vitabu vifuatavyo: David Yallop "In God's Name," Paul L. William " Money, Murder and the Mafia: The Vatican Exposed", Thomas C. Renner " Mafia Princes", and Alex Roe " The Vatican and the Mafia". Kanisa Katoliki halina tofauti na genge la wahalifu. Ukisoma vitabu hivi ndio utajua kuwa si ajabu Pengo kujihusisha na dawa za kulevya. Kanisa Katoliki siku zote huingiza fedha nyingi kupitia njia haramu. Kanisa lilishiriki biashara ya utumwa na kule Angola ni maaskofu wa kanisa katoliki ndio waliokuwa mstari wa mbele kukamata watumwa na kuwauza Ureno. Pia, kanisa hili lilikuwa na mgao wake wa ardhi ktk mfumo wa kinyonyaji wa ukabaila. Hivyo, Pengo anajihami baada ya kustukiwa kuwa anaiharibu jamii kupitia madawa ya kulevya. Maoni yangu ni kuwa akamatwe, ashitakiwe na akipatikana na hatia afungwe na wala asionewe haya.
 
MWASHAM BABA ASKOFU SI WEWE TU KUNA WATANZANIA WENYE FIKRA HURU KIBAO WAMEINGIZWA TAYARI KWENYE LISTI YA SIRI YA MIHADARATI NA ORIJINO KUENDELEA KUKUSANYA VUMBI MAGOGONI

Serikali ya Wauza Unga inapogeuzia santuri SAUTI HURU kwa tuhuma juu ya madhambi wayatendao wao wenyewe miaka nenda rudi!!

Idadi ya wauzaunga waliojipenyeza mjengoni Dodoma kwenda kutunga sheria inatisha! Lakini bahati tu ni kwamba tangu jumuiya ya kimataifa ifahamu picha zima, biashara yao imeyumba sana tena sana.

Na hilo ndilo siri mojawapo sehemu kubwa ya hao waliojiingiza kazi ya ubunge kwa maslahi ya kibiashara zaidi leo hii wakaamua kuliingizia taifa hasara kubwa kwa kudai kiwango cha posho ambacho hata kwa mataifa tajiri halipwi mtu.

Lengo ni kufidia kulikoyumba maana kujitoa ubunge kama Rostam Azizi kwa hivi sasa wanaona ni so.

Tangu Iran iingie hati hati ya kivita na Magharibi na Rostam Aziz kusogezewa tochi ya kimataifa kwa jirani zaidi na shingo lake, kuna uwezekano mkubwa sana kwamba vijana wetu wengi wakapona kwa kukosa madawa ya kulevya zaidi kwa kuwa usambazaji wake utaanguka zaidi na zaidi kote Afrika Mashariki, Kati na Kusini.

Mwasham Baba Askofu, jitulize roho yako. Ni wachache tu hdi hivi sasa ndio hawajui mchezo mzima na jinsi ambavyo serikali ya sasa inavyotumia tuhuma za mihadarati kama silaha ya kuwanyamazisha sauti huru.

Sera yao hivi sasa ni 'Kama vipi basi aheri Tukose wote'. Tutawaumbua wote wahusika halisi muda mwafaka utakapowadia na kuweka hadharani data lukuki hapa.
 
Tutawaumbua wote wahusika halisi muda mwafaka utakapowadia na kuweka hadharani data lukuki hapa.

Watu wazima hawatishiwi nyau.Kama unazo data muda muafaka wa kuweka ni sasa.Chelewa chelewa utakuta mwana si wako.
 
Majina ya watuhumiwa wa madawa yakitoka na kwa bahati mbaya kama jina la Pengo halipo bwana Pengo ataweka wapi sura yake?
 
Mbio za u_rais Kuelekea 2015 mitandao inajipanga kufunika watu wenye ushawishi katika jamii wakose sauti. Kila la kheri
 
Si ajabu huyo mhubiri kukamatwa na madawa ya kuleva. Mbona hata mtume wa allah pamoja na vikundi vyake vya kigaidi kama Taleban, Alqaida, Al Shabab, hutegemea dola za madawa ya kulevya kuendeleza jihad duniani?
Hii ndio tabu ya kufikiri kwa kutumia masaburi meusiii!!!
 
Kanisa lina hela nyingi sana hadi za anasa? wakati waumini wake kule sumbawanga wanakanisa la makuti
Nayajua makanisa Katoliki karibu yote ya Sumbawanga, nitajie parokia moja au kigango chenye makuti !
 
Si ajabu huyo mhubiri kukamatwa na madawa ya kuleva. Mbona hata mtume wa allah pamoja na vikundi vyake vya kigaidi kama Taleban, Alqaida, Al Shabab, hutegemea dola za madawa ya kulevya kuendeleza jihad duniani?

Ya mtume sijui lakini ya taleban,alkaida na alshabab ni kweli hutegemea dawa za kulevya.Duniani sasa hivi vita kubwa ni kuthibiti maeneo yenye vitu vitatu ambavyo ni madini,mafuta na madawa ya kulevya.Nchi zote zenye vitu hivi kwa wingi vita haziishi .Na wanaopigana utawasikia kila moja anasema lake mwingine kuthibiti magaidi mwingine kudhibiti makafiri kwa jina la uislamu lakini wote waongo lengo ni kudhibiti biashara ya ama mafuta,madini au madawa ya kulevya.Mfano nchi za uarabuni vita zinaenedela sababu wana mafuta, Nchi kama CONGO,SIERRA LEONE,ANGOLA n.k migogoro ya kivita ni kawaida kwa kuwa wana madini kwa wingi.America kusini na afghanistan vita zipo sababu kuna mashamba makubwa na biashara kubwa ya cocaine inayoingiza mabilioni ya dola.

Afghanistan wanaangukia kwenye kundi la wakulima na wasafirishaji na wafanyabiashara wakubwa wa cocaine.Kule mashamba ni mengi na makubwa na yanalimwa na waislamu swala tano wafuasi wa Alkaedana taleban.Na marekani walipoona kuwa kumbe jeuri ya alkaeda na talebani mfereji wa hela ni ule wa cocaine ndio walimenyana nao pale kugombea utajiri wa cocaine ulioko pale kama ilivyo america kusini marekani hutwangana sana na matajiri ya cocaine kule kila mmoja anataka athibiti na aweke serikali yake na kumiliki trade routes na markets za cocaine.Lakini wakianza vita za kugombea kila mtu anasema uongo wake.Mwingine nampigania mtume mwingine Nampigania Yesu ili mradi uongo hawaishi.

Alshabab nao vivyo hivyo Tanzania nchi isiyokuwa na dini mirungi ilishapigwa marufuku kama haramu lakini msomali na mwanachama wa alshabab anailima,anaiuza na anaila kabla na baada ya kutoka msikitini utasema anapigania uislamu huyo?

Sasa nadhani labda na viongozi wa makanisa wameona si vema hii biashara ikabaki mikononi mwa alkaida,taleban na alshabab wameona nao wajitose nao wakamate mi-dola kama ambavyo wenye visima vya mafuta na madini wanashika mi-dola.Mbona nchi hii kazi tunayo!
 
Kwa hili pengo hawezi kujinasua kwani yeye ni miongoni mwa viongozi wa dini waliotajwa kuwa wamo kwenye listi ya wauza unga...

Ili kulisafisha kanisa na kashfa ya madawa ya kulevya tunamuomba muhashamu ajivuegamba....
 
Amesema jina lake liko kwenye list ya wauzaji wa madawa ya kulevya, hakusema whether hiyo list iko police au wawapi, pia amesema vijana wasiamini kila kitu cha mtandaoni, means inawezekana hiyo list imekuwa circulated kwenye mtandao!

ok kwa hiyo unadhani anaposema wanajaribu kumnyamazisha ana maanisha ni watu wa kwenye mtandao ndio wanataka kufanya hivyo au?
 
Soma vizuri post #142 na #147. Narudia tena ukikua utaacha tu.

Huna cha kuchangia hapa,kaa usome michango ya wachangiaji wengine ni njia bora ya kujifunza,wala sio dhambi ama kosa la jinai kutokua na mchango wowote!
 
Kuna uhakika huu:
1.Inawezekana Pengo ana fanya biashara ya unga
2.Inawezekana Pengo hafanyi biashara ya dawa za kulevya
Kati ya majibu hayo moja wapo ni sahihi
 
Back
Top Bottom