kingadvisor
Senior Member
- Dec 21, 2011
- 109
- 30
Kwanini aombe msamaha kama hajadhibitisha, huwa anahakiki akiona tuhuma za kweli ndo anaomba msamaha, bado inteligencial ya papa ni kubwa na kumbuka ni dunia nzima.
Unafanya kazi maeneo yale kanisa katoliki lina monopoly. Unaweza pale mfano unakuta kijijini kanisa ni moja tu waumini wote pale wakatoliki, mjumbe wa nyumba kumi mkatoliki, kiongozi wa kata, tarafa, wilaya, mkoa hadi taifa raisi mkatoliki, mkuu wa polisi mkatoliki, usalama wa taifa mkatoliki hivyo unakuta padri, askofu, kardinali au papa akitaka kupata hata taarifa za yaliyotokea kijiji hata kilichoko mfano Rombo ilikuwa rahisi ni kumpigia simu kardinali wa nchi na yule anampigaia askofu wa jimbo askofu wa jimbo anampigia paroko wa parokia, yule wa parokia anampigia kiongozi wa kigango cha kijijini au wanapata hizo taarifa wanazipeleka juu kwa juu.
Mfumo huo unatumiwa na unafanya kazi hasa kwenye maeneo ya wakatoliki wengi.
Kwenye wakatoliki wengi yes unafanya kazi kusiko na wakatoliki wengi haufanyi kazi. Na pia zamani ulifanikiwa sababu watu walikuwa wasafi kulikuwa hakuna kulindana.
Lakini sasa hivi papa anaweza kuwa hajui kuwa Pengo kwenye list ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya! au mheshimiwa unajua kuwa papa anazo hizo taarifa?