Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!

Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!

sifahamu iliishaje bali ninachokumbuka mzee maengi alipendekeza watu wachuliwe hatua lakini ninachofahamu pia ni kwamba kamanda nzowa ndio mkuu wa kitengo cha kupambana na madawa!kama unafahamu vinginevyo please tufahamishane kamanda!

Oooopss, nilikuwa nafuatilia comment zako nikadhani kwa uzito huohuo hutamumunya maneno katika hili pia. Ngoja niendelee kufuatilia mjadala tu.
 
Kama atakuwa amejihusisha, basi cycle hizo lazima zitahusisha pia watu ama shughuli za kanisa kama cover, hence really hard to avoid the church involvement, halafu kama unavojuwa hawa wanaripoti kwa Pope, na kama kuna uchunguzi, maybe tayari kanisa wanawakwao pia.

Catholic church ni kubwa mkuu, ni kama ina serikali yake.

Scandal kama hiyo maybe tayari inafanyiwa kazi ndani kwa ndani kwasababu kama yeye ni allegedly kuwa mmojawapo wa hao madealer wakubwa, basi ina maana huwa ana import drugs na cover inawezekana ikawa watu na church activities.

So the scandal has big implications other than just Pengo kama unavyotaka tuamini.

Hata kama itagundulika kuwa si kweli mara baada ya uchunguzi, still it can be costly to the cause, damaing to the church's reputation and also discouraging to others who wanted to be on the front.

Ndo hapo ile mantiki ya "Kunyamazishwa" inapoingia kwenye equation.

jamani eeh msichanganye mambo tukajaribu kuwarudisha mstarini mkanuna,unasema ninavyotaka muamini hata sijaelewa kivipi?kwanini ni mimi ndio nilieliweka jina la pengo kwenye hiyo list yake?si ni yeye mwenyewe labda ndio anaetaka muamini hivyo?mimi nimejikita katika kuwataka watu wamhoji yeye pengo chanzo cha hizo habari zake badala ya kukimbilia kumtetea kwamba hawezi kufanya makosa kabisa,na pia nimekua nikiwakumbusha watu alichosema pengo maana kumekuwa na upotoshaji wa makusudi wa alichokisema,nimekua nikikumbusha kwamba pengo hakusema kanisa limetajwa kwenye hizo stori zake na vijana wakiwa beach,amesema yeye kama pengo ndio ametajwa,lakini katika kujitetea ndio akasema anadhani kuna mbinu la kutaka kulizuia kanisa lisikemee maovu!

implications kama kweli itathibitika ametajwa na mahakama ikathibitisha kahusika zitakuwepo lakini sio kubwa na kanisa litaendelea kama kama kawaida,yapo mengi yametokea huko kanisani na hao wachunguzi wa kanisa hawakuwahi kuona ndani mpaka maafa yalipotokea au unataka kusema vatican ilijua yule kiongozi wa kanisa katoliki rwanda anshirikiana na wauaji wanaotka kuangamiza watutsi wote rwanda?mbona alishiriki na mahakama imemtia hatiani na kanisa halijalalamika kaonewa na watu hatujalihukumu kanisa kama kanisa bali udhaifu wa kibinadamu wa mhusika
 
Oooopss, nilikuwa nafuatilia comment zako nikadhani kwa uzito huohuo hutamumunya maneno katika hili pia. Ngoja niendelee kufuatilia mjadala tu.
Hapa hujausadia sana mjadala..lakini ni uamuzi wako pia kutosaidia lolote hapa
 
Kwanini anatajwa tajwa kwamba anauza unga??

Anatajwa tajwa ili akome kuharibia watu ulaji,
kuongea sana ni ngao inayotumiwa mara nyingi na watu waoga, viongozi wetu ni waoga wa kuact wanaongea sana ili tuwaamini, ni km wanatulalamikia kuwa maaskofu wetu wanauza unga badala ya kuwakamata wanaongea porojo, jeshi la polisi mnatuangusha wauza unga mnawajua vizuri ila kwa sababu mnazozijua mnawasingizia maaskofu.
 
Argentina, Chile, Bolivia, Colombia, Venezuela, mbona Maskofu ndio kazi zao kuuza madude!
 
jamani eeh msichanganye mambo tukajaribu kuwarudisha mstarini mkanuna,unasema ninavyotaka muamini hata sijaelewa kivipi?kwanini ni mimi ndio nilieliweka jina la pengo kwenye hiyo list yake?si ni yeye mwenyewe labda ndio anaetaka muamini hivyo?mimi nimejikita katika kuwataka watu wamhoji yeye pengo chanzo cha hizo habari zake badala ya kukimbilia kumtetea kwamba hawezi kufanya makosa kabisa,na pia nimekua nikiwakumbusha watu alichosema pengo maana kumekuwa na upotoshaji wa makusudi wa alichokisema,nimekua nikikumbusha kwamba pengo hakusema kanisa limetajwa kwenye hizo stori zake na vijana wakiwa beach,amesema yeye kama pengo ndio ametajwa,lakini katika kujitetea ndio akasema anadhani kuna mbinu la kutaka kulizuia kanisa lisikemee maovu!

implications kama kweli itathibitika ametajwa na mahakama ikathibitisha kahusika zitakuwepo lakini sio kubwa na kanisa litaendelea kama kama kawaida,yapo mengi yametokea huko kanisani na hao wachunguzi wa kanisa hawakuwahi kuona ndani mpaka maafa yalipotokea au unataka kusema vatican ilijua yule kiongozi wa kanisa katoliki rwanda anshirikiana na wauaji wanaotka kuangamiza watutsi wote rwanda?mbona alishiriki na mahakama imemtia hatiani na kanisa halijalalamika kaonewa na watu hatujalihukumu kanisa kama kanisa bali udhaifu wa kibinadamu wa mhusika

Mkuu sometimes you are really unstable and inconsistent to the extent that it worries me!

THE ROMANTIC said:
naamini kupatikana kwa taarifa za pengo zenye uhakika kwamba naye yumo yatakua ni mafanikio makubwa na ya kujivunia ya jeshi letu la polisi ambalo tumekua tukilitilia shaka kwa ku deal zaidi na vidagaa kwenye issue ya madawa na kuyaacha ma big fish yakitamba!sina papara nasubiri report ya wataalam wetu katika angle hii
(polisi)

Sasa hapo juu ulikuwa unashangilia kitu gani?

Unaona jinsi unavyo jump around like a butterfly without stability and direction?

At least you should've float and sting!lol

Sasa nani atanuna?lol
 
Kinachoonekana hapa ni watu kutengeza mazingira kama kweli itakuja kuthibitika pengo anahusika basi hatua zishindikane kuchukuliwa kwa watu kusema unaona wanamuandama kwa kuwa anakemea uhalifu...!kukemea uhalifu mbali kushiriki katika uhalifu usiku mbali pia tusichanganye mambo na kujifanya haijawahi kutokea kwa mtu kukemea uhalifu na kushiriki kwenye uhalifu huo kwa mlango wa nyuma,simuhukumu pengo lakini namuomba asubiri,mbivu na mbichi itajulikana tu!
 
Hapana mimi siko huko kwenye hizo ABARAHAMIC Religions,nilishakuwa kwenye zote mbili kwa nyakati tofauti nikaona wizi mtupu,sasa hivi niko kwenye masonic faith ndugu yangu,ndio maana unaona niko huru kuchangia!

aisee!wewe ni muhumini wa ayo maupuuzi ya kufikirika?kweli magharibi ni noma.
 
Tumekuskia unajitetea kuwa unahusishwa na biashara ya 'UNGA',
hapa nchini x nyingi hata wanaohusishwa na ufisadi nao hujitetea kwa nguvu mno,sina haja ya kuwataja hapa maana wanatambulika,
kwakuwa wewe uhusiki basi tumeskia,ila hata viongoz wa din walipoambiwa wanahusika nao walikana,lakini kwa bahati mbaya akatajwa mmoja hapo BIAFRA,sioni sababu ya wewe kuanza kupga kelele wakati hata majina bado hayajatajwa,acha kupiga mayowe SUBIRI UKWELI UTAPATIKANA
 
THE ROMANTIC, wakati ule wa EPA, ushahidi ulikuwepo, na humu pia, lakini cha ajabu, JK akawa anataka watu waende kwa shemeji yake Mkuu wa polisi nchini kamanda Mwema kwenda kupeleka ushahidi wa mafisadi ambao hao ambao Mwema alishasema wazi kuwa hawawezi kushughulikiwa kwa sababu nchi itayumba.

Sasa kuwaita mashaidi waliotoa taarifa si ni kama kutaka kuwachunguza kuwa wametoa wapi taarifa hizo?

Sasa kuna tofauti gani na wewe kung'ang'ania eti atoe ushahidi wa wapi alipata hiyo listi yenye jina lake, kwanini serikali ama JK asiitoe hiyo listi muda wote huo na Pengo mweyewe alishawahi kusema anasapoti itolewe?

Sasa nani mnamgeuzia kibao?Mimi sina side kwenye issue hii, mimi ni analyzer wa JF,the free one!

And thats for your Info!
 
ok kwa hiyo unadhani alimaanisha jina lake limetajwa kwenye list gani kuhusika na mihadarati mzee ya bakwata ama kkkt?

Amesema jina lake liko kwenye list ya wauzaji wa madawa ya kulevya, hakusema whether hiyo list iko police au wawapi, pia amesema vijana wasiamini kila kitu cha mtandaoni, means inawezekana hiyo list imekuwa circulated kwenye mtandao!
 
Mkuu sometimes you are really unstable and inconsistent to the extent that it worries me!

Unaona jinsi unavyo jump around like a butterfly without stability and direction?

At least you should've float and sting!lol

Sasa nani atanuna?lol

unajua bwana mushi pengine moshi iko mbali kidogo na kiswahili fasaha,bahati mbaya mimi mswahili wewe pengine sio mswahili,ni kipi ambacho hujakielewa hapo juu ktk maandishi yangu?

Sasa hapo juu ulikuwa unashangilia kitu gani?nmesema naamini kupatikana kwa taarifa za pengo zenye uhakika yatakua(nimetumia neno yatakua hiyo ni future tense)ni mafanikio makubwa na ya kujivunia jeshi letu....sentensi hii mushi inamaanisha taarifa bado kupatikana mzee!kama hutanielewa na hapa basi itakua ni bahati mbaya sana,naomba mjadala uendelee tusiuteke ikawa ni mapambano baina ya wawili..bali issue iwe pengo kujitaja kabla ya kutajwa!
 
Hayo majina yamekuwwpo muda mrefu ila Pengo hajawahi kusema kuwa anatajwa tajwa! Ukiona mtu anaanza kupiga makelele ujue kuna jambo linakuja na hivyo ana pre empty hali inayokuja. By the way, nani kamtaja taja?

kabisaaa,usemalo kweli,LISEMWALO.....
 
THE ROMANTIC, wakati ule wa EPA, ushahidi ulikuwepo, na humu pia, lakini cha ajabu, JK akawa anataka watu waende kwa shemeji yake Mkuu wa polisi nchini kamanda Mwema kwenda kupeleka ushahidi wa mafisadi ambao hao ambao Mwema alishasema wazi kuwa hawawezi kushughulikiwa kwa sababu nchi itayumba.

Sasa kuwaita mashaidi waliotoa taarifa si ni kama kutaka kuwachunguza kuwa wametoa wapi taarifa hizo?

Sasa kuna tofauti gani na wewe kung'ang'ania eti atoe ushahidi wa wapi alipata hiyo listi yenye jina lake, kwanini serikali ama JK asiitoe hiyo listi muda wote huo na Pengo mweyewe alishawahi kusema anasapoti itolewe?

Sasa nani mnamgeuzia kibao?Mimi sina side kwenye issue hii, mimi ni analyzer wa JF,the free one!

And thats for your Info!

we bwana mkubwa kwa hiyo unataka kusema polisi walishawahi kutoa hiyo list yenye jina la pengo huko nyuma?maana mimi ninachokumbuka ni kwamba baada ya jk kuzungumza pale songea maaskofu wakaja juu na kumtaka ataje majina ya wahusika,baadae polisi kupitia kamanda nzowa ikawataja na jina la pengo halikuwemo,kuna mtu akaileta thread ya wachungaji kadhaa kutajwa humu ndani,tukaijadili wengine wakaponda sana mbona hamna maaskofu,ndicho ninachojua
 
Issue nadhani ni umesahau kuwa listi haijatolewa, kama kuna waliotajwa hata mimi nakumbuka alikuwa na Askofu sijui wa kanisa gani.

Pia nakumbuka kuwa JK aligeneralise kwamba hata maaskofu wanafanya biashara hiyo, hilo lenyewe bila kuwa specific, basi inaweza kuwa Askofu yeote wa dhehebu lolote, na ndiyo maana baada ya kelele zile, wakaja na huyo mmoja.

Sizungumzii waliotajwa, na yeye kwa mujibu wa habari kwenye thread hii, hazungumzii waliotajwa.

Kuzungumza kwa mafumbo kwa JK hakukuwa solution kama kweli he was serious, sana sana utagunduwa there are some political games.
 
Back
Top Bottom