matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,958
upotoshaji jazz band...!
masonic faith?eti siku izi ndo fasheni..
upotoshaji jazz band...!
Si ajabu huyo mhubiri kukamatwa na madawa ya kuleva. Mbona hata mtume wa allah pamoja na vikundi vyake vya kigaidi kama Taleban, Alqaida, Al Shabab, hutegemea dola za madawa ya kulevya kuendeleza jihad duniani?Haswaa,wala hujakosea! Wangapi wanamkumbuka Leonard Bhonke mhubiri wa kimataifa? Alikuwa anakusanya maelfu ya watu viwanja vya wazi,pia alihubiri live kwenye radio na tv akiwa uwanjani,lakini akanaswa na shehena ya madawa ya kulevya. Kikwete kwenda kuwaambia maaskofu kuwa viongozi wa dini waache kuuza madawa ya kulevya we unadhani alikurupuka? Na alipopewa masiku ili akanushe au adhibitishe na yeye kukaa kimya ulidhani yeye *****? Alijua akiwasema hadharani kuwa ni fulani na fulani hali ya nchi itakuwa hatarini kwani watu wa madawa hujipanga kwa njia zote. Mfano ikipangwa JK auwawe,na mpango ukafanikiwa basi ujue yale ya Rwanda yatakuja Tanzania lakini itakuwa baina ya Waislam na Wakristo.
Wanaodhani hii propaganda itamnyamazisha Pengo imekula kwao. Kanisa Katoliki from its origin lina intelligensia yake imara hata CIA wajua hilo, mtu akikengeuka hata kabla intelijensia zenu za Kibongo anshugulikiwa, ukitaka kujua hilo uliza Askofu Koda wa Same yuko wapo.Vyeo havipatikani kwa promotion bali integrity ya mtu.
Pengo hata nguo zake hajui bei yake hadi anakufa sasa anauza unga ili iweje.Ni mwendawazimu tu ndo atadhani kumchafua Pengo anapambana na kanisa, Kanisa katoliki limekuwepo takribani miaka 2000 propaganda hizi ni ujinga ambao hautawasaidia lolote wanaoueneza.

mia mia mkuu hzo ni propaganda za kumpunguzia interest kwa jamii
nadhan ni suala la muda tu,hata mawaziri wetu Hawajui bei za suti,je hawajiucsh na rushwa?
Kwa hiyo unataka kusema kila taarifa sahihi lazima itolewe na taasisi inayolishughurikia. Na vilevile hakuna taarifa inaweza kuvuja kabla haijatolewa na taasis hiyo na taarifa hiyo ikamfikia mlengwa, mlengwa huyo akaitoa na hivyo taarifa hiyo ikawa ni sahihi? Issue nyingine unataka tuamini kila taarifa inayotolewa na taasisi za serikali ni sahihi na hakuna foul play?nimemjibu mchangiaji mmoja huko nyuma kwamba alwayz mimi napenda kujishughulisha zaidi na facts,dawa za kulavya hata kama zinauziwa chumbani kesi zake zinatajwa na kusikilizwa mahakamani na polisi mara zote kupitia bwana kamanda nzowa(mlokole anadai)wamekuwa kila wanapokuwa na latest kwenye issue ya madawa wakiita press conference kutueleza mafanikio yao kwenye upambanaji wa biashara hiyo haramu,naamini kupatikana kwa taarifa za pengo zenye uhakika kwamba naye yumo yatakua ni mafanikio makubwa na ya kujivunia ya jeshi letu la polisi ambalo tumekua tukilitilia shaka kwa ku deal zaidi na vidagaa kwenye issue ya madawa na kuyaacha ma big fish yakitamba!sina papara nasubiri report ya wataalam wetu katika angle hii
(polisi)
Ya Pengo siyajuwi na ndio kwanza nnayasikia leo.
Lakini kuhusu kanisa la Roman Catholic kuhusika na kashfa za madawa ya kulevya na ngono za kuharibu watoto na ngono za wanaume kwa wanaume (gay-ism) nimeshasoma sana kwenye vyombo vya habari. Jee, unabisha nikubandikie humu hizo habari?