Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Samia hajui ashike wapi avuke 2025Subiri mnyukano wa DAB na Nape.....nani mtoto pendwa hapa?
Samia hajui ashike wapi avuke 2025Subiri mnyukano wa DAB na Nape.....nani mtoto pendwa hapa?
Simuono saa 100 akivuka 2025......simuoni kabisaaaSamia hajui ashike wapi avuke 2025
Upinzani hakuna mkuu.Simuono saa 100 akivuka 2025......simuoni kabisaaa
Fisiemu wanapenda Sana kutuona wajinga..
Shortly hili swala lilishapangwa muda alafu kuna mcheza sebene mmoja anasema walikuwa wanapitia maoni ya wananchi kabla haijapitishwa.. serious!!!
Haya mtuambie mlivyosikiliza maoni ya wananchi,hii ndio hatua mliochukua?...
Serikali ya mama Juma lini mtaacha kuwaona watanzania malimbukeni?
Mmerogwa na Nani?
Hapo bado chinjachinja wa kindondoni amepewa mchemsho wa ini la kuku...wanasubiri anogewe wampe kuku mzima 2030.
Kuna Mzee mmoja kipofu alinihusia akasema " mwanangu kutenda kosa ni kosa ila kurudia kosa ni kosa zaidi"
Haya samaki mmja kashaoza mnataka mbadilishe maji!! Hata hamjali kama wote watakuwa wameoza.
E Mungu Tanzania tunaongozwa na wafu waliohai kwenye matumbo yao
Tumerogwa na Nani?
Achana nayoo..Fisiemu wanapenda Sana kutuona wajinga..

Mwamba....nakazia![]()
Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa
Kwa mujibu wa simulizi za kidini, ulimwengu umewahi kuadhibiwa mara mbili na mwenyezi Mungu kwa mapigo mawili makubwa. Pigo la kwanza wakati wa Nuhu, Pigo la gharika hili lilipozwa kwakuwa maji ni uhai na watu walipewa muda wa kujiandaa. Hili ni pigo takatifu lenye nafasi ya uhai ndani yake...www.jamiiforums.com
Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
KwambaAchana nayoo..
Achana naoo..Kwamba
HUyo nae aache unafiki 🤣
Walishawahi SEMA Kuna mtu alikuwa anamtafuna ,kwahaya yanaendelea yawezekanaWazungu wanasema .. Shortcut is the longest way you were not going... Na Waswahel wanasema unaweza kuruka ndogo(haja) ukadhani umesalimika kumbe unaenda kukutana na kubwa
Na shida ya kubwa ni moja haichomi, haiumizi lakini ukiikanyaga lazima uchecheme kama aliyekanyaga mwiba ukamchoma akiwa peku ama ukiwa umevaa kiatu ama kobazi lisilo na soli imara!
Na shida ya kubwa ni moja ukishaikanyaga umeitibua uvundo wake wote
Utanuka wewe na wengine watakukwepa kutokana na harufu hiyo wasijue kutofautisha kama ni yako ama ni ya mwingine umeipitia tuu..!
Tunaaswa na wahenga tukiwa kwenye taharuki tusiwe watu wa kuchukua maamuzi ya haraka! Lakini kubwa kuliko yote kuepuka kuchukua maamuzi yanayotokana na ushauri wa kunguni na papasi
Chama kimeyakanyaga! Kinatoa uvundo mkali.. Wenye pua ambazo silika za kunusa bado zinafanya kazi wataanza kukikimbiaView attachment 2789168View attachment 2789169
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau mti wangu mkuu, na sijui hiyo miti ilifikia wapiAnaamsha amsha wajinga wajinga ambao wako wengi sana kwenye mitaa ya Tanzania. Ule ujinga wa kufanya mambo bila kutumia akili huyu ni bingwa. Leo atashika suala la wajane, kesho atashika suala la vibaka, keshokutwa atashika suala la tezi dume... yaani ujinga ambao hauna matokeo yoyote bali unazidisha tatizo na kutumia muda na fedha bila matokeo. Bahati mbaya ni kuwa huwezi kuwadanganya watu muda wote.. kuna siku itafika...
Baada ya kusemwa sana naona wameweka miaka 30. Hii nchi inaliwa na CCM.Miaka 30 kwa mkataba upi sasa? Tuwekeeni mkataba huo..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu samahani ila sijapata point yako katika hili, labda unisaidie.
Hilo neno "likizo" ni la msingi sana
Mpasuko rasmi
Unaelewa tofauti ya maneno "fear", "fair", na "fare"?Makonda kufoji vyeti, wakat kina mayala og wapo tu, sio fear Wala nini,.