Pengine serikali ya CCM imechanganyikiwa

Mshana jr kumbuka CCM ni chama cha siasa!they are here for winning elections alafu kuna local ele 2014 ,kweny CCM kuna watu wa propaganda na wafia chama ni hao akina makonda,pia huenda wametoa mambo yote mawil kuweaken mitazam ya watu..yote kwa yote makonda nazan ni mbwatukaj mzuri na ni popularity CHADEMA 2014 watatumia muda kumtukana makonda kuliko sera.
 
Upinzani hakuna mkuu.
Lakini Samia ni mwepesi, bandari pekee inatosha kumtosa kilindini
Kama kungelikuwa na tume huru ya uchaguzi na 2025 CCM ikajichanganya na kumpitisha, huo ndio ungekuwa wakati pekee upinzani ungeshinda urais kwa kishindo na kwa urahisi sana.

Kwa mfumo tulionao sasa, mtu yeyote akipitishwa na CCM tayari ni Rais, ukweli mchungu!
 
Muda si mrefu Sabaya naye anakula shavu, mijitu ya ovyo inaanza kurudishwa kwenye madaraka pamoja na mabaya yote ya watu hawa lakini tu kwa vile kuna mtu anapigania madaraka maana amekwisha onja asali sasa anataka kuchonga mzinga ameamua kujifanya mwema kwa kila kundi ndani ya CCM ili tu afanikishe anachokitaka.
 
Wazungu wanasema .. Shortcut is the longest way you were not going... Na Waswahel wanasema unaweza kuruka ndogo(haja) ukadhani umesalimika kumbe unaenda kukutana na kubwa

Na shida ya kubwa ni moja haichomi, haiumizi lakini ukiikanyaga lazima uchecheme kama aliyekanyaga mwiba ukamchoma akiwa peku ama ukiwa umevaa kiatu ama kobazi lisilo na soli imara!

Na shida ya kubwa ni moja ukishaikanyaga umeitibua uvundo wake wote
Utanuka wewe na wengine watakukwepa kutokana na harufu hiyo wasijue kutofautisha kama ni yako ama ni ya mwingine umeipitia tuu..!

Tunaaswa na wahenga tukiwa kwenye taharuki tusiwe watu wa kuchukua maamuzi ya haraka! Lakini kubwa kuliko yote kuepuka kuchukua maamuzi yanayotokana na ushauri wa kunguni na papasi
Chama kimeyakanyaga! Kinatoa uvundo mkali.. Wenye pua ambazo silika za kunusa bado zinafanya kazi wataanza kukikimbiaView attachment 2789168View attachment 2789169

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa unaweza kuwa Muhu mbishi wewe🤣🤣🤣
 
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority looters and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few looters whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except looters themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava boat by which they were sailing!
 
Makonda ana umaarufu gani wa kurudisha wanachama waliopotea mkuu?
Sasa unasema hana umaarufu halafu wew unamjua mkuu hauko serious 😅😅 mkuu wa mkoa Mstaafu mwenye scandel nyingi hasa Ya D.A.B.
Half mkuu unasema hana umaarufu 😅😅😅

Kuna vitu tupunguze mihemko tusiache Akili yetu itawakiwe na chuki
 
Wazungu wanasema .. Shortcut is the longest way you were not going... Na Waswahel wanasema unaweza kuruka ndogo(haja) ukadhani umesalimika kumbe unaenda kukutana na kubwa

Na shida ya kubwa ni moja haichomi, haiumizi lakini ukiikanyaga lazima uchecheme kama aliyekanyaga mwiba ukamchoma akiwa peku ama ukiwa umevaa kiatu ama kobazi lisilo na soli imara!

Na shida ya kubwa ni moja ukishaikanyaga umeitibua uvundo wake wote
Utanuka wewe na wengine watakukwepa kutokana na harufu hiyo wasijue kutofautisha kama ni yako ama ni ya mwingine umeipitia tuu..!

Tunaaswa na wahenga tukiwa kwenye taharuki tusiwe watu wa kuchukua maamuzi ya haraka! Lakini kubwa kuliko yote kuepuka kuchukua maamuzi yanayotokana na ushauri wa kunguni na papasi
Chama kimeyakanyaga! Kinatoa uvundo mkali.. Wenye pua ambazo silika za kunusa bado zinafanya kazi wataanza kukikimbiaView attachment 2789168View attachment 2789169

Sent using Jamii Forums mobile app
Tecc vilaza tu,mikwara yao wawatishie nyie mazuzu wao
 
Habari ya Paul imefanyika sambamba na Habari ya Dp-World.Wajanja tushaelewa
 
KAMA MIRADI YA UJENZI, MASHIRIKA YA UMMA, TUMESHINDWA KUSIMAMIA.
HII YA MKATABA NA WAARABU HAKUNA KITU,
HATA WAO WANAJUA, NDIO MAANA MAKONDA KACHAGULIWA LEO KUWAONDOA KWENYE HILI LA BANDARI
 
Pole sana ndugu. Hata kama mimi ningekuwa CHADEMA hii siku ya leo ingekuwa mbaya sana kwangu. Yaani wakati nafikiria kuzimwa kwa agenda ya bandari mara ghafla naletewa katibu mwenezi Makonda. Yaani huu ni msiba huko Ufipa. Mzee Mshana usijali utarudi kawaida na kuweza kuandika uzi bila kuchanganyikiwa. Huu uzi wako ni ishara kuwa hauko sawa. Tafuta uzi wa Lucas mwashambwa uusome itakusaidia kupunguza maumivu.
 
Back
Top Bottom