abudist
JF-Expert Member
- Oct 25, 2009
- 856
- 788
Una vielelezo kuhusu hizo tuhuma ndugu??
Vielelezo vipo ndugu na ndiyo maana Mh. Daudi Bashite katulia tuli kama kamwagiwa maji. Yeye mwenyewe kajiridhisha na ndiyo maana haongelei hili, ataendelea kuongelea madawa ya kulevya ili ajaribu kuua so. Sasa wewe usio mtuhumiwa ndiyo unamuongelea mbona yeye mwenyewe hataki kabisa kuongelea swala hili? Aliulizwa na dada mwandishi wa habari akawa mkali kama pilipili sababu alijua hatimaye kaumbuka. 🙂 Ingekuwa uongo si Daudi angekanusha? Vielelezo huwa siyo mpaka vipigwe picha sababu historia yake haina utata kwa hilo. Jina lake halisi, kijiji alichozaliwa, shule alizosoma n.k... vimetajwa. Sasa mkuu unataka vielelezo gani? Basi nenda Koromije & Shule alizosoma ukaulize ili ujiridhishe.