Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Mahojiano halafu unamuweka mtu rumande! & there after unamchukua vipimo! Be serious my friend. Usisaidie hata pale ambapo makosa yako wazi. Mdogo mdogo unadumaza upeo wako wa kuchenjua mambo kwa kupenda kuliko pitiliza. What we say ni kwamba pamoja na nia njema ya mheshimiwa.lakini kama binadamu wa kawaida alikosea approach.ni hivyo tu basi. Na kukosea approach hakuwezi ku undermine lengo lake jema moja kwa moja. Sababu mwisho wa siku ni mimi na wewe au watoto wetu au ndugu watakaoathirika na madawa haya. What is important for him now is to go back to his drawing table and try to reframe his strategies .usipokubali kuwa kuna mahali ulikosea ni kutokukubali kuwa wewe ni binadamu. Makosa kaumbiwa binadamu.
Wewe unaongea atleat jambo la maana
 
Ilisemwa anaenda likizo ya miezi 2 ndo ishaisha?
Ya kwamba alienda kutengeneza cheti hili ndo linafanana na ukweli kwasababu south ni wataalam sana hata karatasi zetu za kura zaza uchaguzi mkuu wanazitengeneza wao. Kwa hiyo bashite na cheti kilichofojiwa kwa utaalam wa hali ya juu kutoka south ataweza kuzima sakata lake?
 
Mkuu wa Mkoa ambaye ni Mungu

Mkuu wa Mkoa ambaye amatajirika kwa muda mfupi sana.

Mkuu wa mkoa ambaye amechafua watu mbali mbali kwa visingizio vya kupambana na mihadarati.

Mkuu wa mkoa anayepata upendeleo maalumu kutoka mamlaka za juu kuhusu uhakiki wa vyeti vyake.
Rudia mada yako Mkuu wa Mkoa hajamchafua mtua.

Mkuu wa mkoa ni kuhusu vyeti ni msisitizaji tu Tangazo ni la Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania
 
Wakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.

Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.

Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
Jamani mambo mengine ya kijinga muwe mnayaacha kwani huonesha ujinga wa mleta mada. Ivi unaposema arejea kimya kimya kwani wakati anaenda Sauz alikuaga?
 
Ilisemwa anaenda likizo ya miezi 2 ndo ishaisha?
Ya kwamba alienda kutengeneza cheti hili ndo linafanana na ukweli kwasababu south ni wataalam sana hata karatasi zetu za kura zaza uchaguzi mkuu wanazitengeneza wao. Kwa hiyo bashite na cheti kilichofojiwa kwa utaalam wa hali ya juu kutoka south ataweza kuzima sakata lake?
Waulize chadema wazee wakuzusha.

Chadema wakisikia jina Makonda wanalipuka kwani Shoo moja tu ya Makonda inafunika Ukawa yote hapa Dar. Kwa uwepo Makonda mmoja tu jiji ni kama lipo chini ya CCM. Ni mbunifu na yupo kwa ajili ya wana Dar tunamkubali sana.

Yupo na ataendelea kuwepo kwa Uwezo wake Mwenyezi Mungu.

Wenye wivu wooooooooote msijinyonge Bali acheni Tabia hizo.

Ivi nyie mlivyokuwa mnasikia kuna mapapa wa Unga na mkawa mnashinikiza serikali iwataje mlikuwa mnataka atajwe nani ili roho zenu zisuuzike. Je mlikuwa mnawajua wote?
 
ukisikia ukuda ndio huu..kwani unaposema karejea kimyakimya alivyoondoka alipiga matarumbeta?
 
Hivi huku Living Water anakosali, hawafundishi kwamba uongo ni dhambi??? Maana alisema Gwajima ni muuza unga wakati polisi na watu wa maabara walishindwa kuthibitisha.
 
Hivi huku Living Water anakosali, hawafundishi kwamba uongo ni dhambi??? Maana alisema Gwajima ni muuza unga wakati polisi na watu wa maabara walishindwa kuthibitisha.
Ile ni tuhuma, kawaida ya tuhuma ina majibu mawili
 
Eti anatuhumiwa na kesi kuripoti polisi au kufungua mahakamani hamjaenda.

Kituko cha mwaka

Watanzania kajengeni viwanda pia, mwanya upo kama kawa

Makonda oyeeeeeeeee
Wacha maneno weka vyeti
 
Waulize chadema wazee wakuzusha.

Chadema wakisikia jina Makonda wanalipuka kwani Shoo moja tu ya Makonda inafunika Ukawa yote hapa Dar. Kwa uwepo Makonda mmoja tu jiji ni kama lipo chini ya CCM. Ni mbunifu na yupo kwa ajili ya wana Dar tunamkubali sana.

Yupo na ataendelea kuwepo kwa Uwezo wake Mwenyezi Mungu.

Wenye wivu wooooooooote msijinyonge Bali acheni Tabia hizo.

Ivi nyie mlivyokuwa mnasikia kuna mapapa wa Unga na mkawa mnashinikiza serikali iwataje mlikuwa mnataka atajwe nani ili roho zenu zisuuzike. Je mlikuwa mnawajua wote?
Waulizwe Vilaza wazee wa kufoji Vyeti, kutumia majina ya watu kujipatia sifa, kusema uongo chini ya kiapo, katiba Na imani ya Chama. Kujikomba, kujiweka kwenye maisha usiostahili, kuwapakazia watu, kuwakashifu wataalamu Na Watumishi wa Umma hadharani.
 
Anayetaka vyeti akavifuate Ikulu maana ndiyo mwajiri wake na walipoomba vyeti aliwapa na kuridhika navyo na hatimaye kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya na sasa Mkuu wa Mkoa

Sasa wewe unataka vyeti upeleke wapi?
Weka vyeti mezani maneno na soga za nn mbaba!?
 
Back
Top Bottom