Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Hivi àlivyondoka àlikuaga!?au ni umbea unakusumbua!?
 
Basi uhakiki wa vyeti vya form four, six na shahada ya kwanza uanze kwa wateule wote kuanzia Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi watendaji wote, makatibu wakuu, na Mawaziri
Hiyo inafanywa na mamlaka ya Ikulu kabla ya uteuzi
 
Imagine bashite angekua mchaga? angetumbuliwa kanisani.. haa
 
Wakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.

Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.

Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
Mpenyeza Habari alipaswa ampigige picha....hata hakuna itu aliyempiga picha pale airport.....
 
Anayetaka vyeti akavifuate Ikulu maana ndiyo mwajiri wake na walipoomba vyeti aliwapa na kuridhika navyo na hatimaye kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya na sasa Mkuu wa Mkoa

Sasa wewe unataka vyeti upeleke wapi?
Mbona hawana ubavu wa kusema vyeti vya Daudi Bashite havina shida?
Daudi Bashite weka vyeti mezani!
 
Aoneshe vyeti sasa....!!!

Ni aibu kwa RC kutumia cheti cha mtu mwingine.
Sio aibu tu bali pia ni kosa kisheria na kwa wajuvi wa sheria wanakwambia adhabu yake ni jela miaka mitatu yaani mara sita ya adhabu ya Ndugu Lijualikali.
 
Wakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.

Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.

Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
Haiwezekani.,unataka kunambia kwa jinsi anavyopenda kamera leo hii yamemfika amekuwa wa kuzikwepa!!!,ama kweli "dunia ya MUSSA".
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mchapa kazi

Mchapa kazi na mbunifu.

Anayethubutu na asiyeogopa MTU kwa jina wala wadhifa wake

Mtetezi wa kizazi kinachopotea kwa madawa ya kulevya

Mbunifu wa ajira kwa vijana

Shujaa asiye tetereka

Mkuu wa Mkoa mwenye anayetaka mabadiliko

Mkuu wa Mkoa aliyetukanwa sana

Mkuu wa Mkoa asiyekataa tamaa

Mkuu wa mkoa atakayepiga vita mpaka mwisho madawa ya kulevya

Mkuu wa mkoa aliyetajwa sana kuliko wote toka Uhuru.

Mkuu wa mkoa wa kwanza kijana Dar

Mkuu wa mkoa asiyeangalia wala kujali unatoka chama gani anachotaka ni uwajibikaji tu.

Mkuu wa mkoa anayeaminika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mkuu wa mkoa anayeandamwa hata na wabunge vita ya Madawa ya kulevya ktk mkoa wake

Mkuu wa Mkoa aliyeanzisha vita ya madawa ya kulevya Dar es salaam na sasa imeenea nchi mzima.

Mkuu wa mkoa aliyetoka familia masikini kabisa baba hajasoma kabisa na mama ni darasa la saba lakini amepata shahada moja na kuwatumikia wanainchi vile inavyopaswa.

Mkuu wa mkoa ambaye amesababisha baadhi ya watanzania kushikiwa akili na baadhi ya watu na hatimaye kuwafuata kila wasemalo na kuliamini.

Mpaka Leo 12 March 2017 hakuna aliyetuwekea ushahidi wa vyeti zaidi ya episode za Mch Gwajima tu.


-Mkuu wa mkoa wa kwanza Tanzania aliyeghushi vyeti na kula kiapo cha ukuu wa wilaya na mkoa.

-Mkuu wa mkoa kijana mwenye ubunifu wa kukurupuka ambao huwa unaishia patupu bila kukamilika sababu alipata ZERO

-Mkuu wa mkoa mwenye vyeti vya kughushi aliyeachwa na Rais kuendelea na wadhifa wake ingawa Rais huyo huyo aliyemwacha anapiga vita swala la vyeti vya kughushi.

-Mkuu mkoa wa kwanza aliyetajwa na Gwajima kwa vielelezo lakini ameshindwa kumnyamazisha Gwajima sababu hana vyeti vya kuonyesha kumaliza so.
 
Back
Top Bottom