Emmanuel simon
Member
- May 3, 2016
- 94
- 65
Mujiaandae wauza unga maana Mheshimiwa kaja na kitu kamili.
Naona alisahau kandambiliKaja kimya kimya??
Dah, jamaa anaishi maisha ya digidigi kwa sasa.
Na wazalendo wa tanzania tuna msubiriKajificha kwenye kivuli cha kinachoendelea dodoma,
Btw nasubir "acha maneno, toa vyeti rmx -Gwajima ft Efm,Mwanahalisi,wakereketwa"
Mage kalala sasa. Ila muda si mrefu anaamka tutahakikisha toka kwakeArejee bila mange kujua? Ngoja niangalizie bi mdada anasemaje huko insta