Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Akina Julias malema wamepata taarifa kuwa kuna mtu anaitwa Daudi Albert bashite ameingia South Africa kwa passport yenye jina la paul makonda, wakawa wanapanga kupiga mayowe akamatwe haraka ameshituka kaamua kukimbia mapema asipate Aibu kubwa.
 
-Mkuu wa mkoa wa kwanza Tanzania aliyeghushi vyeti na kula kiapo cha ukuu wa wilaya na mkoa.

-Mkuu wa mkoa kijana mwenye ubunifu wa kukurupuka ambao huwa unaishia patupu bila kukamilika sababu alipata ZERO

-Mkuu wa mkoa mwenye vyeti vya kughushi alieachwa na Rais kuendelea na wadhifa wake ingawa Rais huyo huyo aliemwacha anapiga vita swala la vyeti vya kughushi.

-Mkuu mkoa wa kwanza aliyetajwa na Gwajima kwa vielelezo lakini ameshindwa kumnyamazisha Gwajima sababu hana vyeti vya kuonyesha kumaliza so.
Mkuu wa mkoa wa kwanza kuwa mzurulaji nje ya Nchi kwa mda mwingi pasipo kufanya kazi za Umma, anatumia jina feki kulipwa mshahara na jina feki kwenye passport.
 
Atakuwa kafata mke wake wasepe maana aliondoka kwa kukurupuka akasahau mke.

Mke wa nini? Nasikia jamaa kitandani pia anazungusha kama alivozungusha F4 yaani daraja sifuri. Kama mtu kaoa 2009 na leo ni mwaka wa 8 lakini BILA BILA yaani 0-0!!! Hakuna cha goli hata moja! Huko kwao usukumani huwa wanasema ukikuta mtoto wa kiume hana hata mtoto wa kusingiziwa mtaani ujue huyo ni towashi. Anavolala na mkewe ni sawa kalala na dume mwenzake!!
Hii nayo ni changamoto kwa Bashite na pengine ndo maana inamwongezea msongo wa mawazo kiasi kwamba ili kupunguza FRUSTRATIONS ndo maana jamaa kila siku anakurupuka ili kupunguza mawazo ya kukosa nyamunyamu na watoto.........!!!!!!
 
....
....weeehh?
 
-Mkuu wa mkoa wa kwanza Tanzania aliyeghushi vyeti na kula kiapo cha ukuu wa wilaya na mkoa.

-Mkuu wa mkoa kijana mwenye ubunifu wa kukurupuka ambao huwa unaishia patupu bila kukamilika sababu alipata ZERO

-Mkuu wa mkoa mwenye vyeti vya kughushi aliyeachwa na Rais kuendelea na wadhifa wake ingawa Rais huyo huyo aliyemwacha anapiga vita swala la vyeti vya kughushi.

-Mkuu mkoa wa kwanza aliyetajwa na Gwajima kwa vielelezo lakini ameshindwa kumnyamazisha Gwajima sababu hana vyeti vya kuonyesha kumaliza so.
Una vielelezo kuhusu hizo tuhuma ndugu??
 
Mkuu wa mkoa wa kwanza kuwa mzurulaji nje ya Nchi kwa mda mwingi pasipo kufanya kazi za Umma, anatumia jina feki kulipwa mshahara na jina feki kwenye passport.
Una ushahidi wowote au ndiyo umetekwa na akili za Mch Gwajima
 
Wakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.

Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.

Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
Aliendea vyeti
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mchapa kazi

Mchapa kazi na mbunifu.

Anayethubutu na asiyeogopa MTU kwa jina wala wadhifa wake

Mtetezi wa kizazi kinachopotea kwa madawa ya kulevya

Mbunifu wa ajira kwa vijana

Shujaa asiye tetereka

Mkuu wa Mkoa mwenye anayetaka mabadiliko

Mkuu wa Mkoa aliyetukanwa sana

Mkuu wa Mkoa asiyekataa tamaa

Mkuu wa mkoa atakayepiga vita mpaka mwisho madawa ya kulevya

Mkuu wa mkoa aliyetajwa sana kuliko wote toka Uhuru.

Mkuu wa mkoa wa kwanza kijana Dar

Mkuu wa mkoa asiyeangalia wala kujali unatoka chama gani anachotaka ni uwajibikaji tu.

Mkuu wa mkoa anayeaminika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mkuu wa mkoa anayeandamwa hata na wabunge vita ya Madawa ya kulevya ktk mkoa wake

Mkuu wa Mkoa aliyeanzisha vita ya madawa ya kulevya Dar es salaam na sasa imeenea nchi mzima.

Mkuu wa mkoa aliyetoka familia masikini kabisa baba hajasoma kabisa na mama ni darasa la saba lakini amepata shahada moja na kuwatumikia wanainchi vile inavyopaswa.

Mkuu wa mkoa ambaye amesababisha baadhi ya watanzania kushikiwa akili na baadhi ya watu na hatimaye kuwafuata kila wasemalo na kuliamini.

Mpaka Leo 12 March 2017 hakuna aliyetuwekea ushahidi wa vyeti zaidi ya episode za Mch Gwajima tu.

Nimependa sana uliyoandika.

Makonda oyeeeeeeeee
 
Black man syndrome
 
Tanzania ya viwonder tutaifikia kweli jinsi watu ukiwaambia agenda IPI kipaumbele viwanda au vyeti wanakomalia vyeti tena cha MTU mmoja ?
Waitusi serikali ya awamu ya tano kwa zoezi lake la uhakiki WA vyeti ukidhani waitetea kwa Daudi
 
Mkuu ukishatuhumiwa, Unatakua kukanusha kama unauhakika sio za kweli....
Hakuna aliyeshutumiwa ila waliitwa kwa mahojiano kuhusu madawa ya kulevya.

Na kama kama ni kushutumiwa wote wangukuwa arrested.

Na ndiyo maana Mh Mkuu Wa Mkoa Mh Makonda aliwataja na kuwaomba kuripoti kituo cha Polisi kati kati kwa mahojiano.

Kwa amani kabisa mahojiano yako ndiyo yatakayofanya uendelee kushikiliwa au uachiwe Hutu.
 
Mkuu ukishatuhumiwa, Unatakua kukanusha kama unauhakika sio za kweli....
Ndugu Tuko katika operation ya madawa ya kulevya.

Kama tumekuachia huru hauna hatua endelea na shughuli zako sasa kama unataka hizo heshima za kijeshi utasubiri sana uraiani hazipo
 
Back
Top Bottom