babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,313
- 20,900
wabongo hao,wakinya hewa wanatafta mchawiNaona alisahau kandambili
wabongo hao,wakinya hewa wanatafta mchawiNaona alisahau kandambili
Leteni vyeti vya bashite na Paul ninyi ili kuzihirisha mnayosema mbona kazi nyepesi hivi kuzungumza maneno ndio ushahidi.Mtuhumiwa hana hata ubavu wa kukanusha! Kielelezo ni ukimya wa Mtuhumiwa! Kanuni inayokubalika kimataifa ni kuwa "kuzinyamazia tuhuma ni kukubaliana nazo"
Haiwezekani utuhumiwe kiasi hicho na ukae kimya halafu utegemee watu wasiamini kuwa tuhuma ni za kweli.
Mamlaka za kufuatilia tuhuma za jinai zipo na zenyewe kwa ishu ya Daudi Bashite ziko kimya!
Ila uzuri nikuwa Mungu hatakaa kimya! Maana Mungu hurudisha madhara ya uovu juu ya kichwa cha mhusika! Vinginevyo afanye toba ya wazi maana uovu uko wazi!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] atakutana na Gwajima aombe radhi maana ibada ya jumapili Gwajima amemaliza kila kitu, yaani Gwajima anashangaa Daudi hajakamatwa,Atakuwa amekuja na vyeti...baada ya kukarabstiwa huko s.africa
Jamaa karudi na ataendelea kukutawalaMambo yepi? Kuonyesha cheti ndiyo kufuatilia mambo ya watu? Hivi kuna mtu anawaza kuajiriwa serikalini bila cheti? Acha utetezi wa kijinga hapa ni cheti tu kama alifikiri kwenda bondeni kutatufanya tumsahau hapa imekula kwake
Mkuu kazi mnayo
Chadema tangu lini ukawa source WA habari za ukweliLekin SIZONJE toyari kwishafanza amuzi juu vake. Soon yu wili noo iti 😱 😛
Hakukaliki ana passport za kugushi!!Eh! Si tuliambiwa yuko likizo ya miezi miwili!!!! Imeisha?
Mkuu bashite Hana cheti alipata "bashite". Labda uombe cheti cha makonda.Leteni vyeti vya bashite na Paul ninyi ili kuzihirisha mnayosema mbona kazi nyepesi hivi kuzungumza maneno ndio ushahidi.
MkweliMwambie atume na picha wakiwa safarini vinginevyo tutamtuhumu kuwa hajasema kweri ijapo yeye ni mkweri
Kinatakiwa cheti wacha manenomburulaz,maybe anazani kitapunguza bei ya viroba
Hawana mkuuLeteni vyeti vya bashite na Paul ninyi ili kuzihirisha mnayosema mbona kazi nyepesi hivi kuzungumza maneno ndio ushahidi.
Tena kataja na vifungu vya sheria vya kumtia hatiani[emoji12] [emoji12] [emoji12] atakutana na Gwajima aombe radhi maana ibada ya jumapili Gwajima amemaliza kila kitu, yaani Gwajima anashangaa Daudi hajakamatwa,
Hahahaha acha visa [emoji23][emoji23]Amen Ra aymatu!
Kwa hyo unataka vwonder viendeshwe na watu wenye vyeti magumashi? C vtakufa Kama vle vya zamaniTanzania ya viwonder tutaifikia kweli jinsi watu ukiwaambia agenda IPI kipaumbele viwanda au vyeti wanakomalia vyeti tena cha MTU mmoja ?