Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Raha ya maneno ni kujibizana nyie mnaongea na mtu kma vle bubu bdo tu hamkati tamaa
 
IMG-20170313-WA0016.jpg
 
Hivi Mh. Mkuu wa mkoa si tumeambiwa amekimbilia afrika ya Kusini au? Mbona anaonekana tena akizindua vitu dar au wao mapacha? askofu na mange wamasemaje kwani

IMG-20170313-WA0011.jpg
 
Wakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.

Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.

Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!


Karibu kamanda piga kazi achana na huyo mchungaji mlopokaji .
 
Rais wenu wa dar huyo anaye toa maamuzi ya mkoa na kubatilisha yawe ya nchi sis wa bara hatutaki kusikia habari zake
 
Tatizo tumebebeshwa akili na watu wachache.

Ukitaka vyeti nenda Ikulu utavikuta ndiyo mwajiri wake

Mimi na wewe ni wapiga kelele tu
Hatuna haja ya kwenda huko maana taarifa wanazo na zimewafikia kwa njia moja au nyingine na yamkini si ngeni kwao! Nijualo ni kuwa Mungu hutawala juu ya falme za watu! Ameruhusu wafalme watawale kwa haki na wasipofanya haki ataishinikiza haki mwenyewe!
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mchapa kazi

Mchapa kazi na mbunifu.

Anayethubutu na asiyeogopa MTU kwa jina wala wadhifa wake

Mtetezi wa kizazi kinachopotea kwa madawa ya kulevya

Mbunifu wa ajira kwa vijana

Shujaa asiye tetereka

Mkuu wa Mkoa mwenye anayetaka mabadiliko

Mkuu wa Mkoa aliyetukanwa sana

Mkuu wa Mkoa asiyekataa tamaa

Mkuu wa mkoa atakayepiga vita mpaka mwisho madawa ya kulevya

Mkuu wa mkoa aliyetajwa sana kuliko wote toka Uhuru.

Mkuu wa mkoa wa kwanza kijana Dar

Mkuu wa mkoa asiyeangalia wala kujali unatoka chama gani anachotaka ni uwajibikaji tu.

Mkuu wa mkoa anayeaminika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mkuu wa mkoa anayeandamwa hata na wabunge vita ya Madawa ya kulevya ktk mkoa wake

Mkuu wa Mkoa aliyeanzisha vita ya madawa ya kulevya Dar es salaam na sasa imeenea nchi mzima.

Mkuu wa mkoa aliyetoka familia masikini kabisa baba hajasoma kabisa na mama ni darasa la saba lakini amepata shahada moja na kuwatumikia wanainchi vile inavyopaswa.

Mkuu wa mkoa ambaye amesababisha baadhi ya watanzania kushikiwa akili na baadhi ya watu na hatimaye kuwafuata kila wasemalo na kuliamini.

Mpaka Leo 12 March 2017 hakuna aliyetuwekea ushahidi wa vyeti zaidi ya episode za Mch Gwajima tu.
HONGERA KWA KUTUMIKA.USAFI WA BWANA YULE NI KUONESHA VYETI FULSTOP.
 
Amerudi mbio sheria kule bondeni ingemtia hatiani ' rejea mahubiri ya Gwajima'
 
Welcome home mheshimiwa....
Ni matumaini yangu umeshaandaa vyeti na soon utakua na press conference
Thubutu! Press conference mwisho chalinze, mjini ni mwendo wa machozi tu makanisani kuvutia huruma ya watanzania
Nasi tunamwambia Daudi Bashite lia sana ukinyamaza weka vyeti mezani!
 
Kwa mujibu wa mfumo wetu wa sheria (commonwealth) Gwajima &Co. wana jukumu la kuthibitisha madai/tuhuma zao dhidi ya RC Makonda. Vinginevyo wakae kimya milele.
 
Kwa mujibu wa mfumo wetu wa sheria (commonwealth) Gwajima &Co. wana jukumu la kuthibitisha madai/tuhuma zao dhidi ya RC Makonda. Vinginevyo wakae kimya milele.
He who alleges must prove!!
 
Back
Top Bottom