Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Jamaa kapuuzwa hadi aibu, watu hawaangalii kubweka kwa mbwa, watu wanaongea na mwenye mbwa mwenyewe. Huwezi ukajifanya kumsifia JPM halafu ukamdis mteule wake.

Ukilipenda boga sharti na ulikubali ua lake, kama hili halijui basi atangaze wazi kumchukia JPM pamoja mteule wake
 
Sio kazi yake. Yupo commissioner anaejua anachokifanya sio kuwaaachia wauza unga waingie mitini na kuuza sura kwenye TV tu na wakina-TID
Na mnaonekana mnajua kweli kweli. Ndo maana mlisema kakimbia miezi miwili, sasa mbona kaja hata wiki haijaisha? Twambieni sasa!

Na leo tayari ushajua hajaja na kilichompeleka, twambie sasa kitu gani kaja nacho!
 
Sasa ulitaka arudi na parachute kila mtu amuone, akili za team wema anazijua gastura tu.
 
Na mnaonekana mnajua kweli kweli. Ndo maana mlisema kakimbia miezi miwili, sasa mbona kaja hata wiki haijaisha? Twambieni sasa!

Na leo tayari ushajua hajaja na kilichompeleka, twambie sasa kitu gani kaja nacho!

Mndanganywa na "vita na madawa ya kulevya" ku-justify utoto na upuuzi. Kuna watu wamekaribia kupteza maisha ya wakipigana hivi vita haujawahi kuwasikia. These are cheap political stunts
 
Wakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.

Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.

Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
We ni mfukunyuzi balaaa!
 
Fanya kazi kijana acha kufatilia maisha ya watu. utakuja kufatilia na majini,, kurudi kwake kunakuongezea nini na kukupunguzia nini..? vyeti vyake vinakuhusu nini wewe ndio mwajiri wake..? Go break and take a deep breath kila siku huyo huyo tu hakuna kazi zingine
lazima waaulize anakula mshahara kwa kodi zetu kwanini asiulizwe mtu mtumia vyeti vya wa walikufa wengine kupata stroke baada ya kufukuzwa kazi kwa kutumia vyeti vya watu halafu empty tin mmoja anatamba eti kwa sababu ni kabila moja na mtu ambaye naye anatuhumiwa kufoji PHD
 
Wakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.

Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.

Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
Kwani alipoondoka aliwaaga?
 
lazima waaulize anakula mshahara kwa kodi zetu kwanini asiulizwe mtu mtumia vyeti vya wa walikufa wengine kupata stroke baada ya kufukuzwa kazi kwa kutumia vyeti vya watu halafu empty tin mmoja anatamba eti kwa sababu ni kabila moja na mtu ambaye naye anatuhumiwa kufoji PHD
Sehemu ya kuuliza ni humu JF..? Anatumia vyeti vya watu how sure your..? ukiitwa mahakamani kuprove hivo vyeti utakwenda..?
 
254e58139d3b1c5e5867112b451d62fc.jpg

Bora arudi hukohuko Sauzi...huku bila cheti mambo hayaendi
Mhh aisee una ona mbali.huenda airpot ndivyo ilivyokuwa.eeee mungu mwili wangu umesisimuka.nadhani safari iliishia hapo.
 
Sisi tunataka cheti chenye sahihi ya Ndalichako au mwingine aliyekuwa anausika na kuweka sahihi kipindi hicho chenye jina la Daudi Albert Bashite.
 
Wadhungu wanasema ati ma black wengi mgekuwa kwao mgekuwa kundi la watu wenye uhitaji maalumu (mtindio WA ubongo)
Sasa wakisoma comments za watetezi WA RC ndiyo watathibitisha kabisa na kutuwwka hata sisi wengine kapu Moja na ninyi
MHH HUENDA SAFARI ILIISHIA DAR AIRPOT
Hajatajiriwa ndio kitu gani hicho? Kaka_ibrah wacha vichapizi
 
Sio kazi yake. Yupo commissioner anaejua anachokifanya sio kuwaaachia wauza unga waingie mitini na kuuza sura kwenye TV tu na wakina-TID
Kunasiku jamii itazama kwa kusubili watu wenye kazi yao waje wawaokoe wakati huo watu wenye kuwaokoa wapo mi nasema Makonda ni moja ya waokoaji wasio na ujuzi lakini ameokoa watu wengi sana ambao tungesubiri watalaamu jamii ingeendelea kuzama.
Naomba Wanajamii tumuunge mkono Mh.Makonda na kampong eza kwa kazi nzuri na yahatari ambayo anaifanya.
 
Back
Top Bottom