Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Nimepata tetesi alienda kukutana na wafungwa wa tanzania walio kamatwa na sembe ivyo kama kunapunda wako huko alikamatwa ujiandae maana kaja na kalasi ya majina ya mabosi waliokua wanawatuma.
Daah mkuu silvestre kumbe hata wewe boga kama yeye tetesi akupe wewe kwani we mkewe? Kwa ushirikiano gani Tanzania inayo mpaka wamueleze wauza sembe. Hivi kweli unapoteza hata muda wako kufikiri tu daah aise sina jibu lako they say if you urgue with a fool..... utamaliza
 
kwenye ile hafla angemwita pia mchumba wake wa zamani christina syprian aliyempiga chini baada ya kumsaidia kugushi jina.
 
tupo nae hapa ndo kaingia ndani eti anatafuta vyeti og maraa oh niliviweka chini ya kitandaa mara jikoni sisi tupo tunamwona tu mpka aimbe ile pambio ya simba wa yuda anaunguruma
 
tupo nae hapa ndo kaingia ndani eti anatafuta vyeti og maraa oh niliviweka chini ya kitandaa mara jikoni sisi tupo tunamwona tu mpka aimbe ile pambio ya simba wa yuda anaunguruma
au christina syprian ameshavichukua kaenda kumpa kaka yake? atafute vyeti avilete tuvione hapa...kama kweli yeye sio kilaza empty kwenye coconut.
 
Yaani hizi akili ni mtihani!!
Mna tapatapa ajabu magazeti yalivyo na waandishi MAZERO
wanachukua habari za Viroba humu inakuwa ndio habari kuu!!
Ilikuwa likizo ya Miezi miwili!!
Leo Matapishi mengine!!!

Nchi imevamiwa na kizazi cha laana
kizazi kinacho shabikia upumbuvu!!!
Uonezi kwa raia wema
 
Kunasiku jamii itazama kwa kusubili watu wenye kazi yao waje wawaokoe wakati huo watu wenye kuwaokoa wapo mi nasema Makonda ni moja ya waokoaji wasio na ujuzi lakini ameokoa watu wengi sana ambao tungesubiri watalaamu jamii ingeendelea kuzama.
Naomba Wanajamii tumuunge mkono Mh.Makonda na kampong eza kwa kazi nzuri na yahatari ambayo anaifanya.

Kaokoa watu gani? Kuna nini cha ajabi alichofanya zaidi ya RC wengine zaidi ya kutumia media? Umewahi kuona RC au mtumishi wa umma anafanya party lilve on TV kutimiza mwaka ofisini? Watanzania tumegeuzwa wajinga
 
Back
Top Bottom