Nyati John
Member
- Feb 3, 2017
- 54
- 30
Mkuu kwani lazima atoe taarifa kwa umma?
Kwa wengine tunaona ksfanya vema kutujulisha RC wetu alipo!
Mkuu kwani lazima atoe taarifa kwa umma?
Gwajima kweli ameitaka Dar kweli wasukuma wanawaweza watu wa Pwani aiseee.Mkuu wa mkoa anayeweza kulia hadharani mambo yakiwa magumu.
Mkuu wa mkoa ambae babake halisi hajulikani (bashite au makonda )
Mkuu wa mkoa ambae ana uwezo wa kufukuza mtu mkoani kwake had asahau ndala.
Nk.
Sasa kinachokufanya ushindwe kutumia uwezo aliokupa Mungu nini!?Hatuishi kutegemea Wazungu jifunze kujua vitu nje ya box Wazungu si watu wa kuwategemea kwa kila kila kitu.
Na huo ndiyo UJINGA wetu wa Afrika kila kitu kizuti ni cha kizungu.
Africa ni Bara kubwa na lina kila kitu na tunaweza kufanya mengi tu kama tukitulia na kutumia uwezo aliotupa Mungu.
Mambo ya mke wake yanaingia vipi hapa? Nyie ndo mnaiharibu JF yetuMke wa nini? Nasikia jamaa kitandani pia anazungusha kama alivozungusha F4 yaani daraja sifuri. Kama mtu kaoa 2009 na leo ni mwaka wa 8 lakini BILA BILA yaani 0-0!!! Hakuna cha goli hata moja! Huko kwao usukumani huwa wanasema ukikuta mtoto wa kiume hana hata mtoto wa kusingiziwa mtaani ujue huyo ni towashi. Anavolala na mkewe ni sawa kalala na dume mwenzake!!
Hii nayo ni changamoto kwa Bashite na pengine ndo maana inamwongezea msongo wa mawazo kiasi kwamba ili kupunguza FRUSTRATIONS ndo maana jamaa kila siku anakurupuka ili kupunguza mawazo ya kukosa nyamunyamu na watoto.........!!!!!!
kweli kabisa. naafiki!Mapungufu ya MTU mmoja mmoja hayo siyo ya kitaasisi au Muhimili.
Na hali hiyo IPO ktk Karibu ofisi nyingi nchini
Shujaa wa kughushiWelcome back SHUJAA Makonda
ndo ashakuwa SHUJAA tena hamna namna....bahati ya mwenzio usiilalie mlango waziShujaa wa kughushi
Tunapingana kila kukicha bila sababu za msingiSasa kinachokufanya ushindwe kutumia uwezo aliokupa Mungu nini!?
Ya kweli?Wakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.
Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.
Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
Kurasini tena? Isije ikawa baraza LA maaskofu tu.. Maana kanisani ndio watanisahau ntahamia kwa gwajimaWakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.
Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.
Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
Unaandika ujinga, sidhani kama iki ulichoandika unaweza kukiongea mbele za watu.Otherwise utuambie kwamba CCM ni chama kinashiriki maovu.ndo ashakuwa SHUJAA tena hamna namna....bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
Mnapoteza muda wa kumjadili Makonda badala ya kufanya yenu.Atakuwa kafata mke wake wasepe maana aliondoka kwa kukurupuka akasahau mke.
Angalia user [emoji723]Unaandika ujinga, sidhani kama iki ulichoandika unaweza kukiongea mbele za watu.Otherwise utuambie kwamba CCM ni chama kinashiriki maovu.
Asante mkuu kwa tahadhariAngalia user [emoji723]
Sawa ni kweli, ila yanampa uhalali wa kushikabwadhifa huo bila ya vyeti sahihi vya elimu yake?Hatumtegemei yeye ni Mkuu wa Mkoa na wala si shemeji yetu.
Ila ni mchapa kazi na ameonyeshs njia ktk mambo mengi hapa Dar ambayo hatujazoea