Nchi hii haihitaji vyeti cha muhimu tunahitaji viongozi jasiri kama Makonda, mbona kabla ya vita vya madawa ya kulevya hatukusikia habari ya vyeti. Mheshimiwa wa Rais Magufuli mwache Mkuu wa Mkoa wa Dar aendelee kukusafishia Dar Es sallam iliyokuwa imekuwa jiji la kimafia. Jamani tulifika pabaya inakuwaje mfanyabiashara kama Manji anaitisha mkutano na waandishi wa habari na kutoa lugha za kifedhuli kwa serikali kwasababu ana pesa.
Watu wanadai Makonda ameharibu sifa Na brand zao je wanakumbuka mwaka 1983 katika vita dhidi ya ufisadi kuna watu waliwekwa ndani kwa muda mrefu kwa tuhuma nyingi.