Kaulizwa kasema kweli anaitwa Daud Albert BashiteVyeti vyake Makonda anayo Rais Magufuli nenda kamuulize huko Ikulu
Kaulizwa kasema kweli anaitwa Daud Albert BashiteVyeti vyake Makonda anayo Rais Magufuli nenda kamuulize huko Ikulu
ohoooooooooooooooooo!!!Atakuwa kafata mke wake wasepe maana aliondoka kwa kukurupuka akasahau mke.
Wakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.
Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.
Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
Tatizo tumebebeshwa akili na watu wachache.Mtuhumiwa hana hata ubavu wa kukanusha! Kielelezo ni ukimya wa Mtuhumiwa! Kanuni inayokubalika kimataifa ni kuwa "kuzinyamazia tuhuma ni kukubaliana nazo"
Haiwezekani utuhumiwe kiasi hicho na ukae kimya halafu utegemee watu wasiamini kuwa tuhuma ni za kweli.
Mamlaka za kufuatilia tuhuma za jinai zipo na zenyewe kwa ishu ya Daudi Bashite ziko kimya!
Ila uzuri nikuwa Mungu hatakaa kimya! Maana Mungu hurudisha madhara ya uovu juu ya kichwa cha mhusika! Vinginevyo afanye toba ya wazi maana uovu uko wazi!
Sikiliza hiiHehehe Miezi miwili leo hakuna!!
Kweli nchi imevamiwa na Wajinga!!
Hamkupata kapicha!kaonekana kurasini leo jioni majira ya saa 2:30 usiku, akiwa mpole kama kondoo
Sikiliza hii toka kwa GwajimaHakuna cha phd bana km unatak kuthibitisha ingia kwa page ya kimamba insta kaeleszea frxh ile picha aliyovaa johoo
Toka lini mtumishi wa umma akaweka vyeti ktk mitandao ya kijamii ili iwe nini.
Ukitaka vyeti vya Makonda nenda Ikulu utavikuta
Nchi inajengwaje kwa style hizi za CCM kutumia pesa za viwanda kuziba watu midomo? Nchi inajengwa vp kwa kuchukua pesa hazina kienyeji kuwapa akina Lipumba wadhoofishe Wapinzani, huwezi kujenga Nchi kwa kuwafukuza watu CCM kisa mwaka juzi walimsapoti Lowasa, pesa nyingi ya viwanda imeenda Arusha kuzuia Lisu asichaguliwe kuna matumizi ya hovyo juu ya pesa za umma, Nchi itajengwa vp kwa mambo haya ya hovyo hovyo?Tuache upuuzi tujenge nchi kwa bidii
Kwa mchungaji KatunziWakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.
Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.
Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
Atoe vyeti sasa ili wauza unga waaibike.🙄[/QUOTE
Atavipata wapi unafikiri vile vilio cha mazabauni vilikuwa vya bure!
Hakuna kesi Mahakamani ndiko angejibu hayo unayosema.Wewe una mtindio WA ubongo.hata ueleweshweje huelewi. Paul C Makonda.ana vyeti hadi vya degree halali kabisa
Lakini form four alimaliza kama Daudi Bashite na alipata 0
Sasa aliwezaje kuendelea na certificate hadi degree tena kwa jina tofauti na alilosomea O-Level ?
Yeye athibitishe kuonyesha Cheti chake cha form 4 hata hicho cha Paul ili aumvuliwe kwa kuwa shule atayoionyessha kwenye cheti itakuwa wazi na waliosoma nae kama kweli watatoa maelezo. Wapi shida katika hilo misukule ninyi
Mkuu wa mkoa wa kwanza kuwa mzurulaji nje ya Nchi kwa mda mwingi pasipo kufanya kazi za Umma, anatumia jina feki kulipwa mshahara na jina feki kwenye passport.
Acha wivu jiajili kama huna bahati ya kupata ajila serikalini.Daudi Albert Bashite.
Kaja na bomu la kurusha, subirini.Wakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.
Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.
Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
Rais ameshateua Kamishina ambaye ndiye mwenye mamlaka kisheria.Sasa kama hajachafua watu mbona kapigwa marufuku kutangaza watu bila ya kuwa na ushahidi.
Na kwa nini ajilize mpaka kumwaga kamasi?
Jiongeze ndugu yangu
Hata Komandoo Analia itakuwa Makonda!!ww upo mwezini au upo Greenland? Kama upo Tanzania ushahidi upi unataka? Mwambie boss wako atoe vyeti kama anavyo? Muulize kwa nini analia lia ksma mwanamke? iweje mtu mwenye vyeti akazurule makanisa mbalimbali akilia hovyo? Tambua kuwa mwanaume Jasiri hawezi kulia lia mbele za watu.