Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Wewe una mtindio WA ubongo. Umeambiwa Anayeitwa Paul C.Makonda. mpaka anamaliza Form four na kuipata 0 alikuwa anaitwa Daudi Bashite
Kama aliondoa jina lililompa 0 na kuanza shule tena kwa jina jipya la Paul C Makondda tatizo liko wapi akieleza na kuweka ushahidj kuwa hakununua cheti cha MTU Bali Alisoma kwa jina jipya ?!?!?
CV yake inagoma udanganyifu unaotaka kumfundisha!
 
Rudia mada yako Mkuu wa Mkoa hajamchafua mtua.

Mkuu wa mkoa ni kuhusu vyeti ni msisitizaji tu Tangazo ni la Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania
Rudia mada yako Mkuu wa Mkoa hajamchafua mtua.

Mkuu wa mkoa ni kuhusu vyeti ni msisitizaji tu Tangazo ni la Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania
Sasa kama hajachafua watu mbona kapigwa marufuku kutangaza watu bila ya kuwa na ushahidi.
Na kwa nini ajilize mpaka kumwaga kamasi?

Jiongeze ndugu yangu
 
Mke wa nini? Nasikia jamaa kitandani pia anazungusha kama alivozungusha F4 yaani daraja sifuri. Kama mtu kaoa 2009 na leo ni mwaka wa 8 lakini BILA BILA yaani 0-0!!! Hakuna cha goli hata moja! Huko kwao usukumani huwa wanasema ukikuta mtoto wa kiume hana hata mtoto wa kusingiziwa mtaani ujue huyo ni towashi. Anavolala na mkewe ni sawa kalala na dume mwenzake!!
Hii nayo ni changamoto kwa Bashite na pengine ndo maana inamwongezea msongo wa mawazo kiasi kwamba ili kupunguza FRUSTRATIONS ndo maana jamaa kila siku anakurupuka ili kupunguza mawazo ya kukosa nyamunyamu na watoto.........!!!!!!
Daud hamna kitu pale nguvu za kiume hakuna ndiyo maana ana tabia za kike kulia lia live, mwanaume jasiri hawezi kulia mbele za watu kamwe.
 
Wakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.

Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.

Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
Kwani wakati anaondoka kwenda Afrika kusini akikuaga?
 
Una ushahidi wowote au ndiyo umetekwa na akili za Mch Gwajima
ww upo mwezini au upo Greenland? Kama upo Tanzania ushahidi upi unataka? Mwambie boss wako atoe vyeti kama anavyo? Muulize kwa nini analia lia ksma mwanamke? iweje mtu mwenye vyeti akazurule makanisa mbalimbali akilia hovyo? Tambua kuwa mwanaume Jasiri hawezi kulia lia mbele za watu.
 
Jamani wapendwa. Hebu yaishe muwe na roho ya kusamehe. Msiwe watu wa visasi. Tumeshasema basi wapendwa. Hakuna alie safi ndugu zangu. Kisasi sio chetu ni kazi ya Mungu. Kibehe
Mhubiri mzuri nimependa mahubiri yako! Mbona hujawahubiri wale wa kijani waliokutana Dodoma na kuwahukumu watu waliokosa mwaka juzi 2015 kwa kuimba "tuna IMANI na Lowasa oya oya oyaaaaa!!!" Mbona hujawaambia wawe na roho ya kusamehe!
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mchapa kazi

Mchapa kazi na mbunifu.

Anayethubutu na asiyeogopa MTU kwa jina wala wadhifa wake

Mtetezi wa kizazi kinachopotea kwa madawa ya kulevya

Mbunifu wa ajira kwa vijana

Shujaa asiye tetereka

Mkuu wa Mkoa mwenye anayetaka mabadiliko

Mkuu wa Mkoa aliyetukanwa sana

Mkuu wa Mkoa asiyekataa tamaa

Mkuu wa mkoa atakayepiga vita mpaka mwisho madawa ya kulevya

Mkuu wa mkoa aliyetajwa sana kuliko wote toka Uhuru.

Mkuu wa mkoa wa kwanza kijana Dar

Mkuu wa mkoa asiyeangalia wala kujali unatoka chama gani anachotaka ni uwajibikaji tu.

Mkuu wa mkoa anayeaminika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mkuu wa mkoa anayeandamwa hata na wabunge vita ya Madawa ya kulevya ktk mkoa wake

Mkuu wa Mkoa aliyeanzisha vita ya madawa ya kulevya Dar es salaam na sasa imeenea nchi mzima.

Mkuu wa mkoa aliyetoka familia masikini kabisa baba hajasoma kabisa na mama ni darasa la saba lakini amepata shahada moja na kuwatumikia wanainchi vile inavyopaswa.

Mkuu wa mkoa ambaye amesababisha baadhi ya watanzania kushikiwa akili na baadhi ya watu na hatimaye kuwafuata kila wasemalo na kuliamini.

Mpaka Leo 12 March 2017 hakuna aliyetuwekea ushahidi wa vyeti zaidi ya episode za Mch Gwajima tu.
Mbona umesahau mengine? Sema yote sio unasifia sifia tu sijui ni shemeji yako na ndo mliekuwa mnamtegemea? Sasa mtakufa njaa.
 
Ivi eti ni kweli paulo makonda ndiye aliye mpiga mzee warioba maana mimi sielewagi
Laana ya mzee warioba inamtafuna hadi leo, huyo bonge kafanya mengi mabaya acha mungu amuonyeshe kuwa kuwakomoa watu si njia sahihi ya kuongoza jiji la Dsm.
 
Mkiambiwa mna tabia za kishoga mnalalama mnatukanwa, alivyoondoka alikuja kweu kuaga?
 
Back
Top Bottom