Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Wakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.

Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.

Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
source?????? halafu eti shughuli flani...... sio lazima uanzise uzi kama huna story soma tu uzi za wenzio......
 
Wakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.

Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.

Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
Kwani alipoondoka alikuaga
 
Mahakama ni Muhimili unaojitegemea wala hakuna shida ndiyo maana Estar Bulaya kashinda kesi dhidi ya Wassira.

Msigwa kashinda kesi pale Iringa hata Lissu kashinda kesi pale Singida

Mahakama haina upendeleo wowote
mahakama haina upendeleo. ila baadhi ya mahakimu wanatumiwa kupindisha.
 
Huyu jamaa akiachwa sizonje atoe tamko kabisa! kutumia cheti cha mtu kuombea kazi ruksa, kunawatu wameshaoza makaburini wana one za 4&6 na GPA za 5 vyuo watoe tamko na sisi tuvimie jamani
Mubashallah maana vipo chungu mbovu na vyangu nitaviuza kwa mtu mwingine ikiwa Daudi ataachwa
 
Mbona hakuwafunguliwa kina Gwajima et al kesi mahakamani ili wajitete ? Mtindio WA ubongo WA mzungu ndio akili yako wewe na maccm wengi. Hujasikia kuwa zaidi ya 50℅ ya watu weusi IQ yao imejaa sehemu ambapo wazungu huanza kuwahsesbu watu wao kama wenye mahitaji maalumu ?
Gwajima aliitwa kwa mahojiano na kama kungekuwa na issue yoyote ya kufunguliwa mashitaka angefungiliwa ila hayakuwepo.

Alikuwa clean baada ya mahojiano
 
Mange popote ulipo Bashite karudi njoo utupe data anavyosubiliwa dodoma na Katibu.
 
Wengine hatuna jinsi kwa kuwa ninyi wqtunga sera ndio mnatufanya tuwe tegemezi nashukuru wewe unajitegemea na watumia Android ya Koromije
Hongera sana
Hakuna anayetumia kifaa aidha simu au computer ya mwingine kazini.

Sera huwa zinaanza toka mtaani tunakoishi au taasisi tunako fanya kazi au ofisi za umma kulingana na mahitaji baada ya evaluation ya muda mrefu ili kuboresha Huduma hizo.
 
Iwe amekuja ama lah,tunachohitaji ni yeye kuonesha vyeti vyake halisi na siyo vinavyosekekana alinunua.
Kwa hili jambo ni dhahiri anakichafua chama.
 
mahakama haina upendeleo. ila baadhi ya mahakimu wanatumiwa kupindisha.
Mapungufu ya MTU mmoja mmoja hayo siyo ya kitaasisi au Muhimili.

Na hali hiyo IPO ktk Karibu ofisi nyingi nchini
 
Welcome home mheshimiwa....
Ni matumaini yangu umeshaandaa vyeti na soon utakua na press conference
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mchapa kazi

Mchapa kazi na mbunifu.

Anayethubutu na asiyeogopa MTU kwa jina wala wadhifa wake

Mtetezi wa kizazi kinachopotea kwa madawa ya kulevya

Mbunifu wa ajira kwa vijana

Shujaa asiye tetereka

Mkuu wa Mkoa mwenye anayetaka mabadiliko

Mkuu wa Mkoa aliyetukanwa sana

Mkuu wa Mkoa asiyekataa tamaa

Mkuu wa mkoa atakayepiga vita mpaka mwisho madawa ya kulevya

Mkuu wa mkoa aliyetajwa sana kuliko wote toka Uhuru.

Mkuu wa mkoa wa kwanza kijana Dar

Mkuu wa mkoa asiyeangalia wala kujali unatoka chama gani anachotaka ni uwajibikaji tu.

Mkuu wa mkoa anayeaminika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mkuu wa mkoa anayeandamwa hata na wabunge vita ya Madawa ya kulevya ktk mkoa wake

Mkuu wa Mkoa aliyeanzisha vita ya madawa ya kulevya Dar es salaam na sasa imeenea nchi mzima.

Mkuu wa mkoa aliyetoka familia masikini kabisa baba hajasoma kabisa na mama ni darasa la saba lakini amepata shahada moja na kuwatumikia wanainchi vile inavyopaswa.

Mkuu wa mkoa ambaye amesababisha baadhi ya watanzania kushikiwa akili na baadhi ya watu na hatimaye kuwafuata kila wasemalo na kuliamini.

Mpaka Leo 12 March 2017 hakuna aliyetuwekea ushahidi wa vyeti zaidi ya episode za Mch Gwajima tu.
Upuuzi yaani unaweka ngonjera hapa,yeye ndio athibitishie watu kuwa kinacho semwa ni kweli au uongo,eti mpambanaji mpambanaji kwa staili ya upigaji sawa,MTU anaetaka kuwadhalilisha wenzake eti kisa madaraka,MTU asie na adabu alikuwa anawatukana watu hata,walio mzidi ni umri wewe unadhani hiyo ni adabu.
 
Mkuu wa mkoa anayeweza kulia hadharani mambo yakiwa magumu.

Mkuu wa mkoa ambae babake halisi hajulikani (bashite au makonda )

Mkuu wa mkoa ambae ana uwezo wa kufukuza mtu mkoani kwake had asahau ndala.

Nk.
 
Hata mtoto mdogo anaweza ku solve quiz hii!! Bashite alikuwa south afrika anafanya maujanja ya kupata cheti!! Kesha kipata! Na soon ataonekana kwenye mimbari akitamba! Na. Usikute ana Baraka za mkuu!! Maana kwa huyu mzee rangi nyeupe Inaitwa bluu
Daah we acha tu rangi hazitofautiki tena sikiwahusu watu fulani fulani
 
Wakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.

Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.

Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
Mkuu kwani lazima atoe taarifa kwa umma?
 
Upuuzi yaani unaweka ngonjera hapa,yeye ndio athibitishie watu kuwa kinacho semwa ni kweli au uongo,eti mpambanaji mpambanaji kwa staili ya upigaji sawa,MTU anaetaka kuwadhalilisha wenzake eti kisa madaraka,MTU asie na adabu alikuwa anawatukana watu hata,walio mzidi ni umri wewe unadhani hiyo ni adabu.
Mtumishi wa umma hata siku moja hawezi weka vyeti ktk media ili wanainchi wathibitishe elimu yake.

Haipo na haitatokea labda Katiba itakapo sema
 
Back
Top Bottom