Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Lakini makosa bado yako palepale ya kumdanganya mwajiriKaenda kwa madiba kusoma twisheni ili mwaka huu arudie pepa la kidato cha nne
Lakini makosa bado yako palepale ya kumdanganya mwajiriKaenda kwa madiba kusoma twisheni ili mwaka huu arudie pepa la kidato cha nne
Pamoja sana yaani ni kumpiga kila konaNimesham-text Gwajima
Yeye mbona alizisahau hata hizo ndala?chezea wazalendo wewe?Si kaja kwenye mkoa wake mkileta fyoko fyoko mnafukuzwa mtarudi na ndala tu
[emoji3] [emoji3] na mke piaYeye mbona alizisahau hata hizo ndala?chezea wazalendo wewe?
Mbona walisema mapumziko ni miezi miwili?Wakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.
Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.
Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
Wanapunguza misongo yao ya maisha tu.Kwani alipoondoka haikuwa kimya kimya?.....
Kutafuta umaarufu kupitia mtu ni kazi ngumu sana.
wewe na Daudi Albert ndiyo mna hizo tabia, boss wako kakosa hata mtoto wa kusingiziwa? ngoja Wajanja wachepuke na mke wake uone kama hajapata mimba ndani ya week tu, Mwanaume lijali huzaa watoto lakini boss wako kutwa kunywa viagra hana mtoto wala nini, analia lia hovyo mitaani, mashoga ndiyo hupenda kulia lia hovyo.Mkiambiwa mna tabia za kishoga mnalalama mnatukanwa, alivyoondoka alikuja kweu kuaga?
Mkuu nguvu ya umma inatisha[emoji3] [emoji3] na mke pia
Serikali ya South Africa wamemfukuza kwa kutumia passport yenye jina fekiMbona walisema mapumziko ni miezi miwili?
Wewe si muajiri wakeWeka vyeti mezani maneno na soga za nn mbaba!?
Tunahitaji vyeti tuWewe si muajiri wake
Vyeti vyake Mh Makonda anavyo Rais Dr Magufuli nenda kamuulize huko Ikulu utapata majibu.Rudia mada yako Mkuu wa Mkoa hajamchafua mtua.
Mkuu wa mkoa ni kuhusu vyeti ni msisitizaji tu Tangazo ni la Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania
Weka vyeti mezani BashiteKwani wakati anaondoka kwenda Afrika kusini akikuaga?
Kaka si mchezo, ukiingia kwenye mji wa watu ingia kwa heshima, tafuta watu wakuelekeze namna ya kuishi katika mji huo, watakupeleka kwanza kwa wazee wa mji, pili kwa vijana wa mjini na tatu watakuelekeza njia ya kupita, haijalishi umeenda kijijini au ndani ya mji mkubwaMkuu nguvu ya umma inatisha
Toka lini mtumishi wa umma akaweka vyeti ktk mitandao ya kijamii ili iwe nini.Sielewi! Wa kuweka vyeti ni wanaomtuhumu au mtuhumiwa aweke vyeti ili awaaibishe wanaomtuhumu? Kimya kingi kina mshindo mkuu!
Usemayo ni ya msingi kabisa mkuuKaka si mchezo, ukiingia kwenye mji wa watu ingia kwa heshima, tafuta watu wakuelekeze namna ya kuishi katika mji huo, watakupeleka kwanza kwa wazee wa mji, pili kwa vijana wa mjini na tatu watakuelekeza njia ya kupita, haijalishi umeenda kijijini au ndani ya mji mkubwa