Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Una vielelezo kuhusu hizo tuhuma ndugu??
Angekuwa sio kabila la Mkuu vielelezo vingetolewa na mkulu na hotuba zake nyingi zingekuwa kubeza watu WA aina hiyo lakini ndiyo hivyo tena naye ni Mchagga WA Ushirombo Sawa na mkulu
 
Hakuna aliyeshutumiwa ila waliitwa kwa mahojiano kuhusu madawa ya kulevya.

Na kama kama ni kushutumiwa wote wangukuwa arrested.

Na ndiyo maana Mh Mkuu Wa Mkoa Mh Makonda aliwataja na kuwaomba kuripoti kituo cha Polisi kati kati kwa mahojiano.

Kwa amani kabisa mahojiano yako ndiyo yatakayofanya uendelee kushikiliwa au uachiwe Hutu.
Ha ha ha mtaona kila rangi lakini hoja ni vyeti
Division zero haibadirishwi na kuita watu wakagohiwe polisi. Ukiita watu kama ulikuwa na zero form four inabaki kuwa zero
Ukiita watu waende polisi kama unatumia jina la MTU ulilolitumia kuingilia Chuo kwa sababu wewe ulikuwa na division zero ibabaki kuwa vivyo hivyo
Kuita watu hakumfanyi Daudi Bashite awe Paul Makonda au kinyume chake
 
Tafsiri yako
Wadhungu wanasema ati ma black wengi mgekuwa kwao mgekuwa kundi la watu wenye uhitaji maalumu (mtindio WA ubongo)
Sasa wakisoma comments za watetezi WA RC ndiyo watathibitisha kabisa na kutuwwka hata sisi wengine kapu Moja na ninyi
 
Itakua kwel karejea maana instagram kaweka picha ya jiji la dar halaf hajaandika chochote.

31d2b283569eab02e95d8b0563223e1e.jpg
Hajatajiriwa ndio kitu gani hicho? Kaka_ibrah wacha vichapizi
 
Ndugu Tuko katika operation ya madawa ya kulevya.

Kama tumekuachia huru hauna hatua endelea na shughuli zako sasa kama unataka hizo heshima za kijeshi utasubiri sana uraiani hazipo
Madawa ya kulevya yameundiwa kamisheni na ninyi sio wajumbe Sasa hiyo opereshen mnayoifanya ina maana ni kiini macho kutupumbaza tuone kazi isiyowahysu badala ya vyeti vunavyowahusu ?!
Mbona kamisheni iliyoteuliwa kupambana na madawa hawatajwi kuwa na vyeti feki ?
Mbona hata Nzowa aliyekuwa Mkuu WA kitengo hajatajwa kuhusika na matumizi ya vyeti feki ?
 
Angekuwa sio kabila la Mkuu vielelezo vingetolewa na mkulu na hotuba zake nyingi zingekuwa kubeza watu WA aina hiyo lakini ndiyo hivyo tena naye ni Mchagga WA Ushirombo Sawa na mkulu
Makonda aliteuliwa na Dr Kikwete hivyo Dr Magufuli na utawala wake ni muendelezo tu na teuzi za nyuma kwa maana ya promotion from DC to RC
 
Ha ha ha mtaona kila rangi lakini hoja ni vyeti
Division zero haibadirishwi na kuita watu wakagohiwe polisi. Ukiita watu kama ulikuwa na zero form four inabaki kuwa zero
Ukiita watu waende polisi kama unatumia jina la MTU ulilolitumia kuingilia Chuo kwa sababu wewe ulikuwa na division zero ibabaki kuwa vivyo hivyo
Kuita watu hakumfanyi Daudi Bashite awe Paul Makonda au kinyume chake
Leta ushahidi basi au na wewe na walewale wa Kanisa la Gwajima mnaolishwa neno la kwenda mbinguni kupitia kijijini kolomije
 
Ha ha ha mtaona kila rangi lakini hoja ni vyeti
Division zero haibadirishwi na kuita watu wakagohiwe polisi. Ukiita watu kama ulikuwa na zero form four inabaki kuwa zero
Ukiita watu waende polisi kama unatumia jina la MTU ulilolitumia kuingilia Chuo kwa sababu wewe ulikuwa na division zero ibabaki kuwa vivyo hivyo
Kuita watu hakumfanyi Daudi Bashite awe Paul Makonda au kinyume chake
Nanda na wewe kijijini cha kolomije ukamjue vizuri Paul Makonda kama Mch Gwajima alivyowashika akili za watanzania
 
Hakuna cheti cha kwa Madiba wala nini,mwaka huu mtamwomba hata shetani aje aizime mitandao speed ni ile ile inyeshe mvua au liwake jua Hadi kieleweke hapa Bashite hachomoki.
 
Makonda aliteuliwa na Dr Kikwete hivyo Dr Magufuli na utawala wake ni muendelezo tu na teuzi za nyuma kwa maana ya promotion from DC to RC
Soma vizuri hoja husika acha kukurupuka
Ina maana baada ya kuteuliwa na Kikwete usukuma ukaondoka akabaki ni mkwere ?
 
Let's ushahidi basi au na wewe na walewale wa Kanisa la Gwajima mnaolishwa neno la kwenda mbinguni kupitia kijijini kolomije
Ushahidi Gani unataka ? Division zero imenukuliwa Toka NECTA na kuwekwa ikiwa na jina la Daud Bashite
Sasa wenzake kijijini kwao wanamtambua kama Daud.

Unayesema kweli anaitwa Paul wakati hata mwenyewe hajakanusha utakuwa mmoja WA Waafrika wenye mtindio WA ubongo
Hujiongezi
 
Madawa ya kulevya yameundiwa kamisheni na ninyi sio wajumbe Sasa hiyo opereshen mnayoifanya ina maana ni kiini macho kutupumbaza tuone kazi isiyowahysu badala ya vyeti vunavyowahusu ?!
Mbona kamisheni iliyoteuliwa kupambana na madawa hawatajwi kuwa na vyeti feki ?
Mbona hata Nzowa aliyekuwa Mkuu WA kitengo hajatajwa kuhusika na matumizi ya vyeti feki ?
Leta ushahidi kuhusu vyeti vyeki
 
Nanda na wewe kijijini cha kolomije ukamjue vizuri Paul Makonda kama Mch Gwajima alivyowashika akili za watanzania
Wewe jibu kadri ya hoja unayoinukuu.acha kudhalilisha JF
 
Ha
Wadhungu wanasema ati ma black wengi mgekuwa kwao mgekuwa kundi la watu wenye uhitaji maalumu (mtindio WA ubongo)
Sasa wakisoma comments za watetezi WA RC ndiyo watathibitisha kabisa na kutuwwka hata sisi wengine kapu Moja na ninyi
Hatuishishi kutegemea Wazungu hapaTanzania

Sisi tuna tuna maisha yetu na hatukuanza Leo ni miaka mingi sana hata kabla ya Uhuru.

Panua uwezo wako wa kufahamu tafadhali.
 
Leta ushahidi kuhusu vyeti vyeki
Ningekuwa na vyeti feki ningekupa ushahidi Bahati mbaya Mimi Sina vyeti feki. Labda huelewi hoja husika hapa. Vyeti vya RC ni halali jwa kuwa vinetolewa na taasisi husika isipokuuwa cheti cha form alichotumia kuingia Chuo ni cha MTU mwingine aitwaye Paul Christian wakati RC majina yake aliyosomeahadi kidato cha NNE na kuipata 0 anaitwa Daud Bashite.nafikiri hata wewe ni zero brain
 
Back
Top Bottom