Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Soma vizuri hoja husika acha kukurupuka
Ina maana baada ya kuteuliwa na Kikwete usukuma ukaondoka akabaki ni mkwere ?
Ikulu ni ileile na utaratibu wa vetting ni uleule sasa unataka nini
 
Ushahidi Gani unataka ? Division zero imenukuliwa Toka NECTA na kuwekwa ikiwa na jina la Daud Bashite
Sasa wenzake kijijini kwao wanamtambua kama Daud.

Unayesema kweli anaitwa Paul wakati hata mwenyewe hajakanusha utakuwa mmoja WA Waafrika wenye mtindio WA ubongo
Hujiongezi
Mtafute huyo Bashite sasa,sisi Mkuu wetu wa Mkoa ni Paul Makonda
 
Hakuna aliyeshutumiwa ila waliitwa kwa mahojiano kuhusu madawa ya kulevya.

Na kama kama ni kushutumiwa wote wangukuwa arrested.

Na ndiyo maana Mh Mkuu Wa Mkoa Mh Makonda aliwataja na kuwaomba kuripoti kituo cha Polisi kati kati kwa mahojiano.

Kwa amani kabisa mahojiano yako ndiyo yatakayofanya uendelee kushikiliwa au uachiwe Hutu.
Mkuu hoja yangu inahusu vyeti vya mkuu wa moka wa Dar
 
Ningekuwa na vyeti feki ningekupa ushahidi Bahati mbaya Mimi Sina vyeti feki. Labda huelewi hoja husika hapa. Vyeti vya RC ni halali jwa kuwa vinetolewa na taasisi husika isipokuuwa cheti cha form alichotumia kuingia Chuo ni cha MTU mwingine aitwaye Paul Christian wakati RC majina yake aliyosomeahadi kidato cha NNE na kuipata 0 anaitwa Daud Bashite.nafikiri hata wewe ni zero brain
Tatizo lako umedakia hoja za watu wasio na ushahidi.

Weka vyeti mezani vya Paul Makonda tuone huo usemi wako wa vyeti fake
 
Mkuu hoja yangu inahusu vyeti vya mkuu wa moka wa Dar
Wewe ni mkaguzi wa vyeti vya wafanyakazi au?

Basi anza na cheti cha Rais,Makamu wa Rais,Waziri Mkuu na mawaziri wote na wakuu wa mikoa wote na wakuu wa Wilaya wote na wakurugenzi wote.Ma DAS wote na Ma RAS wote
 
Tatizo lako umedakia hoja za watu wasio na ushahidi.

Weka vyeti mezani vya Paul Makonda tuone huo usemi wako wa vyeti fake
Vikao Ikulu nenda ukavione
 
Hakuna aliyeshutumiwa ila waliitwa kwa mahojiano kuhusu madawa ya kulevya.

Na kama kama ni kushutumiwa wote wangukuwa arrested.

Na ndiyo maana Mh Mkuu Wa Mkoa Mh Makonda aliwataja na kuwaomba kuripoti kituo cha Polisi kati kati kwa mahojiano.

Kwa amani kabisa mahojiano yako ndiyo yatakayofanya uendelee kushikiliwa au uachiwe Hutu.

Mahojiano halafu unamuweka mtu rumande! & there after unamchukua vipimo! Be serious my friend. Usisaidie hata pale ambapo makosa yako wazi. Mdogo mdogo unadumaza upeo wako wa kuchenjua mambo kwa kupenda kuliko pitiliza. What we say ni kwamba pamoja na nia njema ya mheshimiwa.lakini kama binadamu wa kawaida alikosea approach.ni hivyo tu basi. Na kukosea approach hakuwezi ku undermine lengo lake jema moja kwa moja. Sababu mwisho wa siku ni mimi na wewe au watoto wetu au ndugu watakaoathirika na madawa haya. What is important for him now is to go back to his drawing table and try to reframe his strategies .usipokubali kuwa kuna mahali ulikosea ni kutokukubali kuwa wewe ni binadamu. Makosa kaumbiwa binadamu.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mchapa kazi

Mchapa kazi na mbunifu.

Anayethubutu na asiyeogopa MTU kwa jina wala wadhifa wake

Mtetezi wa kizazi kinachopotea kwa madawa ya kulevya

Mbunifu wa ajira kwa vijana

Shujaa asiye tetereka

Mkuu wa Mkoa mwenye anayetaka mabadiliko

Mkuu wa Mkoa aliyetukanwa sana

Mkuu wa Mkoa asiyekataa tamaa

Mkuu wa mkoa atakayepiga vita mpaka mwisho madawa ya kulevya

Mkuu wa mkoa aliyetajwa sana kuliko wote toka Uhuru.

Mkuu wa mkoa wa kwanza kijana Dar

Mkuu wa mkoa asiyeangalia wala kujali unatoka chama gani anachotaka ni uwajibikaji tu.

Mkuu wa mkoa anayeaminika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mkuu wa mkoa anayeandamwa hata na wabunge vita ya Madawa ya kulevya ktk mkoa wake

Mkuu wa Mkoa aliyeanzisha vita ya madawa ya kulevya Dar es salaam na sasa imeenea nchi mzima.

Mkuu wa mkoa aliyetoka familia masikini kabisa baba hajasoma kabisa na mama ni darasa la saba lakini amepata shahada moja na kuwatumikia wanainchi vile inavyopaswa.

Mkuu wa mkoa ambaye amesababisha baadhi ya watanzania kushikiwa akili na baadhi ya watu na hatimaye kuwafuata kila wasemalo na kuliamini.

Mpaka Leo 12 March 2017 hakuna aliyetuwekea ushahidi wa vyeti zaidi ya episode za Mch Gwajima tu.
Mkuu wa Mkoa ambaye ni Mungu

Mkuu wa Mkoa ambaye amatajirika kwa muda mfupi sana.

Mkuu wa mkoa ambaye amechafua watu mbali mbali kwa visingizio vya kupambana na mihadarati.

Mkuu wa mkoa anayepata upendeleo maalumu kutoka mamlaka za juu kuhusu uhakiki wa vyeti vyake.
 
hl suala la bashite kama watalipeleka bungen wanapaswa kuwa na evidence make kwa kulindwa huku hakika nawaambie wabunge weng watatimuliwa ktk bunge hl la bajet kwa kale kadada kenye uso disorganised kametumwa kaz maalum so wawe makn sana hasa wabunge wa ukawa kwa ujumla wao! wawe na vielele sio kukurupuka 2 tafadha wabunge wa UKAWA kuwen makn mkifukuzwa yasije tokea kama ya 15% sasa wafanyakaz wanalia haf sizonje hana habar nao. lkn hl n somo tosha kwa wafanyakaz ambao wanafanyakaz kwa bidii huku wananung'unika bila action yoyo il hal TUCTA wanakula kod daileeee bila tamko lolote kwan chao wanakipata kama kawa!
 
Kama Ni Kweli Karudi Kimya Kimya Halafu Atakuwa Kwenye Huo Uzinduzi Kurasini Basi Daudi Albert Bashite Paul Christian Makonda Atakuwa Na Sura Ya Mbuzi Yaani

Ila Najua Sasa Hivi Ataomba Poo! Na Maji Ataita Mma
Kuna Waliomdanganya Kuwa Upepo Upo Dodoma Kumbe Bishop Gwajima Kauwasha Tena.

Aonyeshe Vyeti Na Ashtakiwe
 
Wakuu habari za weekend nimepenyezewa habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye kwa sasa anatuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea Afrika ya Kusini.

Habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa Madiba.

Dokezo zaidi linaonyesha Makonda atakuwa kwenye uzinduzi wa shughuli flani maeneo ya Kurasini!
Nchi hii haihitaji vyeti cha muhimu tunahitaji viongozi jasiri kama Makonda, mbona kabla ya vita vya madawa ya kulevya hatukusikia habari ya vyeti. Mheshimiwa wa Rais Magufuli mwache Mkuu wa Mkoa wa Dar aendelee kukusafishia Dar Es sallam iliyokuwa imekuwa jiji la kimafia. Jamani tulifika pabaya inakuwaje mfanyabiashara kama Manji anaitisha mkutano na waandishi wa habari na kutoa lugha za kifedhuli kwa serikali kwasababu ana pesa.
Watu wanadai Makonda ameharibu sifa Na brand zao je wanakumbuka mwaka 1983 katika vita dhidi ya ufisadi kuna watu waliwekwa ndani kwa muda mrefu kwa tuhuma nyingi.
 
Kama Ni Kweli Karudi Kimya Kimya Halafu Atakuwa Kwenye Huo Uzinduzi Kurasini Basi Daudi Albert Bashite Paul Christian Makonda Atakuwa Na Sura Ya Mbuzi Yaani

Ila Najua Sasa Hivi Ataomba Poo! Na Maji Ataita Mma
Kuna Waliomdanganya Kuwa Upepo Upo Dodoma Kumbe Bishop Gwajima Kauwasha Tena.

Aonyeshe Vyeti Na Ashtakiwe
hapa nilipo bold ndio ishu ya msingi
 
Nchi hii haihitaji vyeti cha muhimu tunahitaji viongozi jasiri kama Makonda, mbona kabla ya vita vya madawa ya kulevya hatukusikia habari ya vyeti. Mheshimiwa wa Rais Magufuli mwache Mkuu wa Mkoa wa Dar aendelee kukusafishia Dar Es sallam iliyokuwa imekuwa jiji la kimafia. Jamani tulifika pabaya inakuwaje mfanyabiashara kama Manji anaitisha mkutano na waandishi wa habari na kutoa lugha za kifedhuli kwa serikali kwasababu ana pesa.
Watu wanadai Makonda ameharibu sifa Na brand zao je wanakumbuka mwaka 1983 katika vita dhidi ya ufisadi kuna watu waliwekwa ndani kwa muda mrefu kwa tuhuma nyingi.
Mkuu ishu sio vyeti...!!! ishu hapa ni kuwa na cheti cha kufoji....
 
hl suala la bashite kama watalipeleka bungen wanapaswa kuwa na evidence make kwa kulindwa huku hakika nawaambie wabunge weng watatimuliwa ktk bunge hl la bajet kwa kale kadada kenye uso disorganised kametumwa kaz maalum so wawe makn sana hasa wabunge wa ukawa kwa ujumla wao! wawe na vielele sio kukurupuka 2 tafadha wabunge wa UKAWA kuwen makn mkifukuzwa yasije tokea kama ya 15% sasa wafanyakaz wanalia haf sizonje hana habar nao. lkn hl n somo tosha kwa wafanyakaz ambao wanafanyakaz kwa bidii huku wananung'unika bila action yoyo il hal TUCTA wanakula kod daileeee bila tamko lolote kwan chao wanakipata kama kawa!
hao wabunge hata wasipotimuliwa unadhani watabadili nini? wako wachache hawana nguvu yoyote wako bungeni kula posho tu
 
Back
Top Bottom