tembobreki
Senior Member
- Aug 11, 2018
- 106
- 56
Mi nafuga kambale je? Naweza kuwalisha na utumbo wa samaki wengine kama utumbo wa perege?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba unitumue hio document kwenye babumdogo2018@gmail.comKuna document natamani nikuwekee hapa ila nashindwa kuattach!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nitumie tafadhali kwenye email hiiKuna document natamani nikuwekee hapa ila nashindwa kuattach!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Habarini wakuu, ninampango wa kufuga samaki katika bwawa la kujengea, VP inahitaji mtaji wa milioni ngapi kwa bwawa lenye ukubwa wa robohekaNitafute nikupatie kijana mmoja ni mtaalam kwa sasa anasimamia uchimbaji rufiji. No 0654742072
wazo zuri sana kufuga samaki kibiashara.
Mwaka jana nilianza utafiti jinsi ya kufuga,nashauri uende kunduchi,kuna kitengo cha ufugaji samaki,pia nina rafiki yangu ambaye ni mtaalamu wa samaki,ni PM ntakupa namba yake,na mpange jinsi ya kuonana awe anakupa ushauri.
Fuga samaki wa ziwa victoria-Sato etc kwani wateja ni wengi na pia utakuwa na gharama ya usafiri from kibaha to DAr,
wish u all the best in ur project
Naomba namba zako nikutafute tafadhali.Uchimbaji wa bwana unategemea na ukubwa wa bwawa,ukitaka kazi na bwawa likae vizuri inakuhitaji uwe na excavators ila pia wapo watu wanachimba ila wanachukua mda mrefu sana. Kwa mfano nimechimba na excavator size ya 43mx15m kwa shilling 700,000 arusha.
huku zanzibar hakuna soko ilo, samaki wa maji baridi wanazaliana tu kwenye madibwi ya maji hamna anaewataka, hasa ao kambare...