Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

aende hospital....wajue..ni.nin.kwanza...haya maswala ya kutulia na uvimbe mda mrefu sio dili.....ushauri...tu... Coz wagonjwa weng wanakuja hospital baada ya miti shamba kugoma
Hospitali ameenda sana mkuu. Madaktari walimshauri atumie tiba mbadala tofauti na upasuaji kwa hoja ya kwamba hata akifanya upasuaji uvimbe utarudi.
Walimshauri abadili life style, asiwe na msongo wa mawazo na pia ale mlo kamili pamoja na mboga mboga kwa wingi.
 
Hospitali ameenda sana mkuu. Madaktari walimshauri atumie tiba mbadala tofauti na upasuaji kwa hoja ya kwamba hata akifanya upasuaji uvimbe utarudi.
Walimshauri abadili life style, asiwe na msongo wa mawazo na pia ale mlo kamili pamoja na mboga mboga kwa wingi.
yeap..mkuu...ajitahidi kutumia high fiber diet
 
Hayo maji unapaka kwenye puru au unakunywa?
nimecheka kama mazuri
mtoa mada unajua bawasiri zinazababishwa na mambo mbali mbali hivyo ni vyema kujua sababu za kusababisha maana zinaweza kujirudia kama bado utaendelea na vihatarishi hivyo ikiwemo uzito Mkubwa,kina mama wajawazito,mazoezi mazito na kula vyakula vigumu sana
 
Mimi pia ilinisumbua sana kama miaka miwili ila nilipo tumia dawa ya meno ikapona kabisaa maana usiombe ukawa na hii kitu afu upate haja ngumu utamwaga dam kama umetoka kujifungua
zikipasuka ni shida kubwa maana maambukizi ya vidudu y anaweza kuwa juu
 
Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na hizi vimbe za sehemu ya haja kubwa ambazo zimekuwa zikiniletea maumivu makali kwa kipindi cha miaka mitatu.

Nilijaribu dawa mbali mbali zikiwemo anusol ya cream na suppositories lakini hazikuwahi kunisaidia hadi ikafikia kipindi nikashauriwa kufanyiwa upasuaji lakini nilikataa kutokana na wengi wanaofanyiwa upasuaji huu ugonjwa umekuwa ukiwarudia baada ya miaka kadhaa

Nilijaribu na baadhi ya dawa za mitishamba lakini bado hazikufua dafu bali vimbe ziliendelea kunitesa hadi ikafika kipindi nikakata tamaa

Lakini mwezi uliopita nililetewa na shangazi yangu dawa iliyo kwenye kichupa kidogo iliyo katika mfano wa maji maji

Nilipouliza nikaambiwa ni maji ya mgomba yalioandaliwa kwa kuchanganywa na mafuta ya mnyonyo kiasi.

Wakuu nimetumia ndani ya wiki vimbe zote zimepotea kabisaa.

Kama kwenu kuna migomba usikate aisee huwezi jua kesho yako

Nawasilisha
Tupatie formula jinzi ya kutengeneza kwani tatizo hili ni sugu kwa wengi
 
Nakushukuru sana kwa moyo wako wakujitoa kutuelimisha kuhusu tiba hii ya bawasili kwani itawasaidia watu wengi sana wenye matatizo haya.Umefanya jambo la uzalendo sana na naamini Mwenyezi Mungu atakulipa yaliyo mema.
 
Bikira latifa pole sana. Ila unaweza tambua ni nini sabbu ya wewe kupata ivyo viuvimbe kenye sehem ya kutolea haja kubwa.

Ungetusaidia kutueleza maana kinga ni bora kuliko tiba.
 
Back
Top Bottom