Passport ya Singapore ndio namba moja kwa nguvu duniani, ukiimiliki unaingia nchi zote duniani bila visa

Passport ya Singapore ndio namba moja kwa nguvu duniani, ukiimiliki unaingia nchi zote duniani bila visa

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,243
Reaction score
90,302
Kwa raia wa Singapore anachohitaji ni pesa tu ya kuzunguka duniani, huna haja ya kusumbuka na maswali au foleni za kuomba visa.
Screenshot_20250824_085954_X.jpg
 
Kwa raia wa Singapore anachohitaji ni pesa tu ya kuzunguka duniani, huna haja ya kusumbuka na maswali au foleni za kuomba visa.
View attachment 3450844
Tunahitaji wawekezaji wengi wa kiSingapore na sio wachina choka mbaya wanaokuja kuchezesha madumbwi.

Tunahitaji kufanya political na economic cooperation na Singapore kwa kiasi kikubwa na sio mataifa ya ajabu bad thing CCM wengi hawana akili.

Hawa Singapore ni Commonwealth member wenzetu tuache ujinga wa kupeleka vijana na viongozi chawa nchini China kujifunza upuuzi tupeleke vijana Singapore.

Tunahitaji economics & political advisors toka Singapore.

Tunahitaji IGR kubwa kati ya Singapore na Tanzania maana Dar imekaa kipuuzi tu na inanuka uchafu na mipango isiyo eleweka.

Tuna mafia na tunashindwa kuitumia, tuna bagamoyo hatujui namna sahihi ya kuitumia, tuna Tanga, Lindi, Mtwara, kote huko ni failure.

Financial sector yetu ni mfu na tupo tupo tu tumekaa kama mafala

WaSingapore wengi hawana njaa kama wachina tuache kukumbatia wachina kwa sababu ya political reasons na kukumbatia waarabu kwa sababu ya ujomba.

Tupo kwenye geographical location nzuri sana lakini tumekaa kama mafala fulani hivi
 
Kwa raia wa Singapore anachohitaji ni pesa tu ya kuzunguka duniani, huna haja ya kusumbuka na maswali au foleni za kuomba visa.
View attachment 3450844
Unatumia visa ukifika nchi unayokwenda.Visa ni lazima.Hakuna nchi utakayoingia bila VISA labda upite uchochoroni kimagendo.Na VISA ndio inaonyesha ukae mda gani,kwenye nchi ya ugenini,tafuteni maarifa,msiwe mnavamia mambo.Singapore hawana maendeleo kwenye technology wako nyuma sana ukimlinganisha na mchina.Pasport ya Yya wajomba ,United Arab Emirotes,DUBAI Abudhab zina nguvu kuingia nchi 185,VISA ya kufikia,katika nchi unayokwenda
 
Hata hapa hapa bongo, Ukiwa mbunge tu

Automatically unakabidhiwa diplomatic passport ambayo unaenda nchi zaid ya 50 bila visa.

Hukaguliwi hovyo airport za kimataifa,

Automatically utapitia v.i.p gate na kukaa v.i.p lounge Kila airport uendayo

Na baadhi ya nchi zinatoa upendeleo kabisa WA kiKodi kwny forodha ukinunua bidhaa kwao,

wkt uku bongo ndo kabsaa haulipi Kodi,kila upoagiza bidhaa zako nje ya nchi

Ndo maana UKIJICHANGANYA kwenye 18 za wanasiasa, wako radhi ata wakuue Ila sio kuuachia ubunge wao

Wakiuchoka ubunge wanarithishana TU kwenye familia zao.

Kamwe Huwezi shindana na mbunge kubadilisha magari, yeye halipi ushuru,ila Wewe utalipia

Huwezi shindana na mbunge biashara ya mabasi, Basi mpya ya mil 198, Ushuru wake Ni mil 210. Jumla ni mil 408.

Wewe unaiwazia mil 408, yeye anaiwazia mil 198, Kwa Basi lile lile. Hamlingani kabisa.

Utawapakiza abiria wako Basi chakavu Hadi wakuchoke, wakati mbunge wako anabadilisha Basi jipya Kila baada ya miez 3 .

UBUNGE WAO NDO KULA YAO
 
Back
Top Bottom