uongo gani huo urushwe mpaka kwenye chombo cha habari kikubwa duniani cha BBC?
Hujui kitu we zwazwa tu
Jiulize kanisa la anglican linaunga mkono ndoa za jinsia moja(same sex marriage)
Uliwahi kuona BBC wanaripoti kwa ukakasi habari kuhusu anglican?
Muwe mnafanya utafiti kabla ya kukurupuka.
 
Huyu mtu sijui walimpata wapi. Wafanye hima wamtengue na nafasi yake aichukue ama Cardinal Arinze au yule mfilipino Luis Antonio Tagle .Kanisa linahitaji kuongozwa na kiongozi kutoka Afrika au Asia
 
Mods wa jf hivi mkoje nyie? Taarifa imenukuliwa na vyanzo rasmi kutoka Vatican na Wala sio mara ya kwanza Kwa Papa Francis kuleta mabadiliko yanayohusiana na Ushoga ikiwemo Kumtimua Askofu aliyekuwa anapinga.

Sasa nataka kufahamu mlifuta mada niliyoanzisha Jana Kwa kunukuu taarifa rasmi kama ilivyoripotiwa na The Citizen Kwa sababu zipi hasa?

View: https://www.instagram.com/p/C1AHCA1IvVs/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

On top of that mlifuta mada niliyonukuu kutoka Millard Ayo kuhusu Serikali kutangaza nafasi za kazi Kwa wanaotaka kwenda Saudia nayo mkafuta Kwa nini?

View: https://www.instagram.com/p/C1APjjyCoIf/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

Swali Kwa mods wa jf,Je hivyo vyomba vya habari sio credible source kwamba nyie hamvitambui ama?

Je mnaweza kuniambia nimevunja kanuni ipi ya jukwaa lenu?
 
Tukiwaambia achaneni na dini ,mfuateni kristo hamuelewi!
Ila Imani yako binafsi ndo mhimu sio Imani ya kanisa fulani
 
Huyu mtu sijui walimpata wapi. Wafanye hima wamtengue na nafasi yake aichukue ama Cardinal Arinze au yule mfilipino Luis Antonio Tagle .Kanisa linahitaji kuongozwa na kiongozi kutoka Afrika au Asia
Kardinal Tagle n mtu sahihi sana kuja kurithi nafasi ya papa.
 
Hujui kitu we zwazwa tu
Jiulize kanisa la anglican linaunga mkono ndoa za jinsia moja(same sex marriage)
Uliwahi kuona BBC wanaripoti kwa ukakasi habari kuhusu anglican?
Muwe mnafanya utafiti kabla ya kukurupuka.
BBC ni ya wa Anglicans, CNN JE?
 
Nilijua tu it was a matter of time before mapembe yaonekane,wamekuwa wakiutengeneza ushoga for along time kwa viongozi wao kulawiti watoto wadogo,Leo aibu naiona mm.
WAO WENYEWE HAWARUHUSIWI KUOA WALA KUOLEWA,SASA NI WEZO KUWA MICHEZO HIYO YA KUFIRANA WAMEANZA WENYEWE HAO MAPAPA,SASA WAMEONA BORA WAHALALISHEE KILA KITU KIWE MSWANOOO....
 
Sidhani kama bado tuko Kwenye nyakati za Manabii wa Ukweli' kwa Sababu dalili zote zinaonyesha Ule Mwisho wa Ulimwengu huu umekaribia

Tunaishi katika Nyakati ngumu sana Joshua Mollel kachinjwa kama ngamia

Kana Kwamba hiyo haitoshi Papa Francisco anayeketi kitini pake mtume Petro anahalalisha Ndoa za Jinsia Moja, Watoto wetu wamekwisha

Ghadhabu ya Mungu wa mbinguni itakuwa Zaidi ya Sodoma na Gomola

Na Nchi zinazoishi kwa Mikopo Ndoa za Jinsia Moja zaweza Kuwa Sharti la kukopesheka

Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi!
Wewe Yohana wewe! Nenda Semtema kajinywee ulasi! Haya ya Mshindo muachie padri Maliva
 
Mods wa jf hivi mkoje nyie? Taarifa imenukuliwa na vyanzo rasmi kutoka Vatican na Wala sio mara ya kwanza Kwa Papa Francis kuleta mabadiliko yanayohusiana na Ushoga ikiwemo Kumtimua Askofu aliyekuwa anapinga.

Sasa nataka kufahamu mlifuta mada niliyoanzisha Jana Kwa kunukuu taarifa rasmi kama ilivyoripotiwa na The Citizen Kwa sababu zipi hasa?

View: https://www.instagram.com/p/C1AHCA1IvVs/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

On top of that mlifuta mada niliyonukuu kutoka Millard Ayo kuhusu Serikali kutangaza nafasi za kazi Kwa wanaotaka kwenda Saudia nayo mkafuta Kwa nini?

View: https://www.instagram.com/p/C1APjjyCoIf/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

Swali Kwa mods wa jf,Je hivyo vyomba vya habari sio credible source kwamba nyie hamvitambui ama?

Je mnaweza kuniambia nimevunja kanuni ipi ya jukwaa lenu?

Hao Mods wamefanya jambo sahihi tu kufuta mada za kijinga. Mnaleta upotoshaji wenu humu halafu mnataka muachwe tu. I wish mngepigwa hata BAN kabisa ili muwe na akili timamu.
 
Back
Top Bottom