Wewe, hizi picha si hata kwenye mitandao zimo! Umesahau technology kuwa unaweza hata ukaweka kichwa chako kwenye kiwiliwili changu!
Lengo ni kumwondoa ili awekwe jamaa mmoja anaitwa Mashari toka Chattle ilikuwa atangazwe mara moja kama huyu wa sasa angepotea step kidogo tu. Sasa kawawahi, sijui kama wataendelea na mpango wao au wataahirisha. Details nyingi zipo ila itoshe tu kusema haya.Bila shaka! Report yake ya ukaguzi wa mahesabu ya mwaka 2017/2018 iko due mwezi April halaf wanamchachafya ili ajiuzulu sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
sijakusomaPasipo na moto hapana moshi.
Je, kuna moto unawaka chini kwa chini Tanzania? Maana moshi kila sehemu.
Cha kujiuliza ni kutafakari, huu moshi unaofuka kila sehemu ni wa mazingaombwe tu na hakuna moto au kuna moto kweli uliowaka au uliowashwa lakini zimamoto yetu haiuoni au tunaoamini kuwa ndiyo zimamoto wetu shupavu wao ndiyo wapepeaji wa huo moto?
Moto upi? Unawaka wapi? Utamuunguza nani na nini? Unaweza kuzimika? Au tunaweza kuuzima wenyewe? Au tunahitaji msaada wa kuuzima huu moto?
Wewe unauona huo moshi? Au tayari unauona moto?
Hatari kubwaHapo Dodoma kuna moshi mzito sana, sifahamu moto wake ukoje na nani ameuwasha, maana Dodoma kuna la Assad na UDOM kote panafuka.
Mbona unaonekana kama mtu mwenye hekima zake lakini kauli zako haziendaniNimeuliza, rudia tena kunisoma. Kama hauna majibu sepa tu.
I accept correction lakini ukweli utabaki wewe ni hasara kwa nchi hii“Pathentic” 🤣🤣🤣
Mkuu naona unakatiza mitaa ya shamo, hiyo kitu yenye turubai na viti vimekusanywa ni ya mshikaji.Mimi huku kitaa sioni kabisa kinachoendana na yanayosemwa humu JF!
Nachoona huku kitaa ni watu wanaopambana na hali zao kila siku.
View attachment 995985
Mkuu naona unakatiza mitaa ya shamo, hiyo kitu yenye turubai na viti vimekusanywa ni ya mshikaji.
Wewe dogo lake bashite huwezi onahamna Moshi wala nini
I accept correction lakini ukweli utabaki wewe ni hasara kwa nchi hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe, hizi picha si hata kwenye mitandao zimo! Umesahau technology kuwa unaweza hata ukaweka kichwa chako kwenye kiwiliwili changu!
Achana na mimi ng'ang'ana na mada. Ukitaka kunijadili mimi njoo hapa: Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa - JamiiForumsMbona unaonekana kama mtu mwenye hekima zake lakini kauli zako haziendani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikitoka hapo diamond trust bank huwa nasimama hapo, naongea na mdau wangu wa miaka mingi.Huwa unapita kula hapo?
Nikitoka hapo diamond trust bank huwa nasimama hapo, naongea na mdau wangu wa miaka mingi.