Panapofuka moshi panaficha moto...

Panapofuka moshi panaficha moto...

Mimi huku kitaa sioni kabisa kinachoendana na yanayosemwa humu JF!

Nachoona huku kitaa ni watu wanaopambana na hali zao kila siku.

View attachment 995985

Unajua nini mwaba, kuna uhalisia wa mambo na kuna matamanio, fikra au kuna nmna watu wanafikiria mitazamo inaweza kuwa hali halisi, ni vitu viwili tofauti.

Nakumbuka wakati wa sakata la escrow, watu walizoza, walizoza, lakini likapita, wachambuzi na nguli wa mambo ya siasa walikuja na nadharia za kila aina lakini mambo yakaenda tofauti.

Kwa ufupi, chochote kinachoendelea, kama hakiathiri watu, au hakijaleta madhara, watamalizana wenyewe huko huko.
Watu wanaendelea kupambana na hali zao...
 
Bibi kweli umezeeka ,huu moshi mbona wenzio tulianza kuusikia harufu yake tangu Novemba 5/2015 na sasa moshi umeongezeka.Jambo la ajabu hapo ni kwamba huu moto uanafukuta kwa miaka 3 sasa ni moto wa aiana gani!Pole sana bibi naona machozi ya kutoka kwa huu moshi
Hata shetani akizeeka huwa anabadilika na kua malaika. Mabadiliko ni muhimu, na yakitokea huwezi kuwa yule yule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakuwa kaguswa mwenzako katika imani naona umeamua kuwageuka wenzako. angekuwa anayepambana na subwoofer ni mgalatia nadhani saa hizi ungekuwa unamtetea subwoofer. Haya ni maoni yangu kutokana na nilivyoelewa mada yako, hvyo uyakubali na kuyaheshimu
 
huyu bibi cku hiz kabadilishia gia angan au? mbona hana mapenz tena na serikali tukufu maana enz zile za kikwete usingeongea kitu bila kukuponda
 
Pasipo na moto hapana moshi.

Je, kuna moto unawaka chini kwa chini Tanzania? Maana moshi kila sehemu.

Cha kujiuliza ni kutafakari, huu moshi unaofuka kila sehemu ni wa mazingaombwe tu na hakuna moto au kuna moto kweli uliowaka au uliowashwa lakini zimamoto yetu haiuoni au tunaoamini kuwa ndiyo zimamoto wetu shupavu wao ndiyo wapepeaji wa huo moto?

Moto upi? Unawaka wapi? Utamuunguza nani na nini? Unaweza kuzimika? Au tunaweza kuuzima wenyewe? Au tunahitaji msaada wa kuuzima huu moto?

Wewe unauona huo moshi? Au tayari unauona moto?
Macho yako yameshikwa ukungu sababu ya uzee tu, hakuna moshi wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pasipo na moto hapana moshi.

Je, kuna moto unawaka chini kwa chini Tanzania? Maana moshi kila sehemu.

Cha kujiuliza ni kutafakari, huu moshi unaofuka kila sehemu ni wa mazingaombwe tu na hakuna moto au kuna moto kweli uliowaka au uliowashwa lakini zimamoto yetu haiuoni au tunaoamini kuwa ndiyo zimamoto wetu shupavu wao ndiyo wapepeaji wa huo moto?

Moto upi? Unawaka wapi? Utamuunguza nani na nini? Unaweza kuzimika? Au tunaweza kuuzima wenyewe? Au tunahitaji msaada wa kuuzima huu moto?

Wewe unauona huo moshi? Au tayari unauona moto?
Kuna kijana wa ufipa ameiba simu ya faiza foxy akiwa anaumwa. Ameingia Jf na kuandika habari ya mabeberu.
 
Sioni kama unazimika, mpaka uondoke na mtu huu.

Anayeuwasha ndiye mwenye uwezo wa kuuzima, ila anasubiri mpaka umwondoe adui ndo auzime. Ingawa moto hautabiliki, unaweza kumwunguza hata asiye mlengwa na uharibifu ukawa mkubwa.
hautabiliki = hautabiriki

Umeuona moto upi na wapi? Maana moshi kila upande.
 
Back
Top Bottom