jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 10,963
- 10,610
Tumechoka na wale wapenzi wa viongozi wa zamani, hasa waliotumbuliwa kwa uongozi mbaya, kustaafu au mifumo ya maisha yao kubadilika kwa faida ya hii nchi, kisa ni kufuata sheria bila shuruti!
Wengine wanaingiza udini, ukabila na hata jinsia!
Yote haya haya nini?! Uongozi ulipo utaondoka karibuni tu, labda yatakuja tena yale maisha ya zamani ya uongozi uliopita, ila kwa sasa tufuate haya, na tunajuwa haya maisha ya sasa ndiyo "real" ila hatutaki kuyakubali!