Kwani huo sio uhuru?
Ok.Ni uhuru boss wangu.
Duh, ama kweli una mengi tumegee ya kibitiHuu moto ndyo umeanza kuwaka we subir. Wamewadharau watz vya kutosha
Juzi nlkuwa naongea na Binamu yangu yupo FFU. Anachukia hii serkali ile mbya. Anadai maandamano yakitokea na yeye atakuwa anasikilizia upepo. Maandamano yakikolea, yeye na washikaji zake wanaamia upande wa waandamaniji.
Na alinipa siri za yaliyokuwa yanatokea kibiti.
Kwani Libya wale waliomgeuka Ghaddafi hawakuwa wanajeshi waliokuwa chini ya Ghaddafi?Alikuridhisha wewe tu. Nakuapia kwa jina Mungu. Hapo keshapata ni kinani kati ya ndugu zake wanaochukia serikali. Unajua kilele pori wewe. Unajua kiapo. Unajua hukuja kulala na pia chungulia pipa? Askari ambaye alipitia haya, hakutoka nanga na akaapa usije hata Siku moja ukaamini atageuka dola. Yeye ni chombo cha dola. Anafanya kazi za dola. Labda itokee wao ndio wachukue madaraka, siyo eti wampiganie mwanasiasa mwingine.
Aisee tuendelee kukaza buti huyu jamaa tutamng'oa tuWote hawapendi nchi navyo enda
Tukisimama kwa wiki nzima bill kuogopa
Utaona mawaziri watajitokeza na kutuunga mkono
Wabunge watajiuzulu nakumtaka atoke
Tukiongeza nguvu zaidi Yule jamaa wa Bunda atasimamia ligi na kumtoa jamaa
Mungu ni Pendo
wanajitekenya na kucheka wenyeweNimetoka Instagram.
Mkuu wa Jeshi la Wananchi, Jenerali E. Mabeyo, kasema kuna viashiria vya uvunjifu amani, watashughulika na hao watu.
Hiyo ni siku moja baada ya ai ji pi Siro kusema jeshi lipo limejiandaa.
Nahisi itatangazwa hali ya hatari na sherehe za mapinduzi zitazuiwa kwa muda.
Mungu akubariki baba askofu, akukinde na yule muovu.
Laki s pesa nikiona jina lako nacheka sana, makumbuka wakati Wa kampeni ulikuwatimu mamvi damu, sijui ulipiga u turn lini.Njaa mbaya sana.Sikh hizi jeshi linatoa taarifa Instagram? Au mange kasema?
AsanteUhuru si zawadi tunayopewa na watawala bali ni haki ya asili ya kila mtu kwa sababu tuliumbwa nayo. NI HAKI YA ASILI!!!
Kiuhalisia tawala za kidunia mara nyingi hulenga katika kupora uhuru huo ili wawatawale watu kama wapendavyo. Lakini hivyo si sawa. Hata Mungu alipowaumba Adamu na Hawa aliwapa uhuru wa kutosha wa kufanya maamuzi na uchaguzi (Mwanzo mlango wa 1 na wa 2).
Ni ubaya na uovu pale tu uhuru huo unapotumika vibaya kwa lengo la kuingilia, kukandamiza na kuhatarisha uhuru na maisha ya wengine. Hii ndio sababu zipo katiba na sheria za nchi huru pamoja na maazimio ya kimataifa vinavyotungwa ili kulinda uhuru huo.
Uhuru wetu ni haki na kipawa cha asili tulichopewa na muumba wetu.
Ni wajibu wako kupambana na yeyote anayejaribu kukunyang'anya uhuru wako ambao ni haki yako ya asili.
mambo niMambo na maneno matamu kama haya mnatakiwa myaongee madhabahuni Baba Askofu.
..
Wamewadharau watz vya kutosha
.
hahaa TRA watacheza kila ngoma mwaka huu"Huyu baba Askofu hana asili ya Malawi kweli"-yatakua ni maneno kwenye korido za ofisi flani flani hapa Mjini.
ewa Hugo ndiye mwanaume ..sio yeye wapo wengi mnooo hata mimi Nina washikaji zangu wapo lugalo walimaind mnooo TLS alivyopigwa risasiHuu moto ndyo umeanza kuwaka we subir. Wamewadharau watz vya kutosha
Juzi nlkuwa naongea na Binamu yangu yupo FFU. Anachukia hii serkali ile mbya. Anadai maandamano yakitokea na yeye atakuwa anasikilizia upepo. Maandamano yakikolea, yeye na washikaji zake wanaamia upande wa waandamaniji.
Na alinipa siri za yaliyokuwa yanatokea kibiti.