Siasa Basi
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 1,493
- 4,285
Motoooooo mambo ni hiviii, Baba Askofu chochea tumuondoe huyu shetani mtu.
acha uongo FFU ana siri ganiHuu moto ndyo umeanza kuwaka we subir. Wamewadharau watz vya kutosha
Juzi nlkuwa naongea na Binamu yangu yupo FFU. Anachukia hii serkali ile mbya. Anadai maandamano yakitokea na yeye atakuwa anasikilizia upepo. Maandamano yakikolea, yeye na washikaji zake wanaamia upande wa waandamaniji.
Na alinipa siri za yaliyokuwa yanatokea kibiti.
Sikh hizi jeshi linatoa taarifa Instagram? Au mange kasema?Nimetoka Instagram.
Mkuu wa Jeshi la Wananchi, Jenerali E. Mabeyo, kasema kuna viashiria vya uvunjifu amani, watashughulika na hao watu.
Hiyo ni siku moja baada ya ai ji pi Siro kusema jeshi lipo limejiandaa.
Nahisi itatangazwa hali ya hatari na sherehe za mapinduzi zitazuiwa kwa muda.
Ni ushamba wa mitandao au ujinga? Kuna mwenzako ameuliza kitu hicho hicho.Sikh hizi jeshi linatoa taarifa Instagram? Au mange kasema?
Aisee swali lako umelifikiria?
Kwamba instagram hakuna pages za habari?
Grow up haya maswali ya kitoto ya bila kutumia ubongo achana nayo
Hakuna kitu kama hicho..... Futa kwenye akili yakoPolisi na wanajeshi wanatuangalia sisi tukionesha msimamo watajiunga nasi kuwatoa....
Tukiwa legeleg hawatatuunga mkono maana wataitwa wahaini
Mungu ni Pendo







yule ni wa Magu baba na ana bonge la hekalu huko kijijini ,ni mshkaji wake sanaWote hawapendi nchi navyo enda
Tukisimama kwa wiki nzima bill kuogopa
Utaona mawaziri watajitokeza na kutuunga mkono
Wabunge watajiuzulu nakumtaka atoke
Tukiongeza nguvu zaidi Yule jamaa wa Bunda atasimamia ligi na kumtoa jamaa
Mungu ni Pendo
Ahsante baba Askofu, kanisa kwa ujumla liko kimya lakini wewe tumekuwa tunakusikia ukikemea ujinga wa mtawala wa sasaUhuru si zawadi tunayopewa na watawala bali ni haki ya asili ya kila mtu kwa sababu tuliumbwa nayo. NI HAKI YA ASILI!!!
Kiuhalisia tawala za kidunia mara nyingi hulenga katika kupora uhuru huo ili wawatawale watu kama wapendavyo. Lakini hivyo si sawa. Hata Mungu alipowaumba Adamu na Hawa aliwapa uhuru wa kutosha wa kufanya maamuzi na uchaguzi (Mwanzo mlango wa 1 na wa 2).
Ni ubaya na uovu pale tu uhuru huo unapotumika vibaya kwa lengo la kuingilia, kukandamiza na kuhatarisha uhuru na maisha ya wengine. Hii ndio sababu zipo katiba na sheria za nchi huru pamoja na maazimio ya kimataifa vinavyotungwa ili kulinda uhuru huo.
Uhuru wetu ni haki na kipawa cha asili tulichopewa na muumba wetu.
Ni wajibu wako kupambana na yeyote anayejaribu kukunyang'anya uhuru wako ambao ni haki yako ya asili.
Mabeyo nae anapost instagram?
Tudokezee kidogo tu japo kwa muhitasaliHuu moto ndyo umeanza kuwaka we subir. Wamewadharau watz vya kutosha
Juzi nlkuwa naongea na Binamu yangu yupo FFU. Anachukia hii serkali ile mbya. Anadai maandamano yakitokea na yeye atakuwa anasikilizia upepo. Maandamano yakikolea, yeye na washikaji zake wanaamia upande wa waandamaniji.
Na alinipa siri za yaliyokuwa yanatokea kibiti.
Mkuu uwe unaelewa hapa hawapiganii wanasiasa wanaoyeswa na kunyanyasika si wanasiasa pekee wananchi wako hoi, hata hao hao polisi.wako hoi pia hawana amani, kumbuka polisi pamoja na viapo uchwara vyote wana damu, nyama na roho.Alikuridhisha wewe tu. Nakuapia kwa jina Mungu. Hapo keshapata ni kinani kati ya ndugu zake wanaochukia serikali. Unajua kilele pori wewe. Unajua kiapo. Unajua hukuja kulala na pia chungulia pipa? Askari ambaye alipitia haya, hakutoka nanga na akaapa usije hata Siku moja ukaamini atageuka dola. Yeye ni chombo cha dola. Anafanya kazi za dola. Labda itokee wao ndio wachukue madaraka, siyo eti wampiganie mwanasiasa mwingine.
Kwani huo sio uhuru?Duuu!! Hizi unaziweza? Dhibiti hasira zako kwa kusikia usiyopenda.
Wewe kamanda hujui maana ya uhuru? Kuingia uchi kanisani ndio uhuru wenyewe huo.Ndiyo mabaki ya CCM humu jf
wewe huwa unaingia uchi kanisani?Uhuru wa kuingia uchi kanisani?