mdaharunga
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 413
- 401
Alikuridhisha wewe tu. Nakuapia kwa jina Mungu. Hapo keshapata ni kinani kati ya ndugu zake wanaochukia serikali. Unajua kilele pori wewe. Unajua kiapo. Unajua hukuja kulala na pia chungulia pipa? Askari ambaye alipitia haya, hakutoka nanga na akaapa usije hata Siku moja ukaamini atageuka dola. Yeye ni chombo cha dola. Anafanya kazi za dola. Labda itokee wao ndio wachukue madaraka, siyo eti wampiganie mwanasiasa mwingine.Huu moto ndyo umeanza kuwaka we subir. Wamewadharau watz vya kutosha
Juzi nlkuwa naongea na Binamu yangu yupo FFU. Anachukia hii serkali ile mbya. Anadai maandamano yakitokea na yeye atakuwa anasikilizia upepo. Akiona hali mbaya anaamia upande wa waandamaniji.