Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Anamuungs mkono da Mange?
Wacha huyo askofu anipiganie huo uhuru kwanza.wewe huwa unaingia uchi kanisani?
Mwenge unaleta mamboWatu mliopatikana katika mikesha ya mwenge ndiyo matapeli maana mnavamia kila mtu mnawita baba ilhali baba zenu halisi hawajulikani.

Ndugu huyo jamaa ni nanga we soma upumbavu wake tuacha uongo FFU ana siri gani
Acha uongo FFU anasiri gani usione wote wajinga mzee,,,kuna watu wanasiri ila sio FFU au police wa kada ya chini wote wanastory za vijiweni tu ...Huu moto ndyo umeanza kuwaka we subir. Wamewadharau watz vya kutosha
Juzi nlkuwa naongea na Binamu yangu yupo FFU. Anachukia hii serkali ile mbya. Anadai maandamano yakitokea na yeye atakuwa anasikilizia upepo. Maandamano yakikolea, yeye na washikaji zake wanaamia upande wa waandamaniji.
Na alinipa siri za yaliyokuwa yanatokea kibiti.
Sasa mbna unatumia nguvu nyingiAcha uongo FFU anasiri gani usione wote wajinga mzee,,,kuna watu wanasiri ila sio FFU au police wa kada ya chini wote wanastory za vijiweni tu ...
Hatutumii nguvu tunakuelimisha na kukuelewesha hiz story za kijiweni usilete huku utaiibika nduguSasa mbna unatumia nguvu nyingi
Hujui hata siri yenyeww umepanic. Yan unapinga hta uaichokijuaHatutumii nguvu tunakuelimisha na kukuelewesha hiz story za kijiweni usilete huku utaiibika ndugu
Hii kauli yake isije ikawa ya kumlisha maneno. Maana minesafu sana jana na leo sijaona alipoitisha waandishi wa habari ili atoe hiyo kauli yake pendwa kwa watanzania tuliokwisha pata uhuru tangu miaka 50 iliyopita. Labda yawezekana yakawa maneno ya fichochoroni ambavyo hata kwenye kanga yapoAsante baba askofu,tusikubali ujinga kuishi maisha ya hofu!