hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,310
- 80,178
hahaaaaUtashangaa huyu askofu ataanza kusumbuliwa badala ya kuchukua ushauri wake na kuufanyia kazi, tatizo Jamaa anatuona watanzania wote hatuna akili yeye ndiye mwenye akili, angejua tunavyomdharau angeacha vitendo vyake