popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,622
Moshi wa mwenge utakuwa umedumaza ufahamu wako kiasi unadhani wajibu wa kiongozi wa dini huishia madhabahuni tuMambo na maneno matamu kama haya mnatakiwa myaongee madhabahuni Baba Askofu.
Moshi wa mwenge utakuwa umedumaza ufahamu wako kiasi unadhani wajibu wa kiongozi wa dini huishia madhabahuni tuMambo na maneno matamu kama haya mnatakiwa myaongee madhabahuni Baba Askofu.
Mabeyo nae anapost instagram?Nimetoka Instagram.
Mkuu wa Jeshi la Wananchi, Jenerali E. Mabeyo, kasema kuna viashiria vya uvunjifu amani, watashughulika na hao watu.
Hiyo ni siku moja baada ya ai ji pi Siro kusema jeshi lipo limejiandaa.
Nahisi itatangazwa hali ya hatari na sherehe za mapinduzi zitazuiwa kwa muda.
Mzarau mwibaAlikuridhisha wewe tu. Nakuapia kwa jina Mungu. Hapo keshapata ni kinani kati ya ndugu zake wanaochukia serikali. Unajua kilele pori wewe. Unajua kiapo. Unajua hukuja kulala na pia chungulia pipa? Askari ambaye alipitia haya, hakutoka nanga na akaapa usije hata Siku moja ukaamini atageuka dola. Yeye ni chombo cha dola. Anafanya kazi za dola. Labda itokee wao ndio wachukue madaraka, siyo eti wampiganie mwanasiasa mwingine.
Aisee swali lako umelifikiria?Mabeyo nae anapost instagram?
Huyo ni tapeli tuuu
Ningeshangaa kama nisingekuona kwenye huu Uzi ukitete serikali ya chama cha makenikia..!!!!Huyo ni tapeli tuuu
Msumari umekuingia vizuri...???Uhuru wa kuingia uchi kanisani?
Mkuu huu utawala hata vyombo vya ulinzi hawaupendi ....huko jeshini ndo usisemeHuu moto ndyo umeanza kuwaka we subir. Wamewadharau watz vya kutosha
Juzi nlkuwa naongea na Binamu yangu yupo FFU. Anachukia hii serkali ile mbya. Anadai maandamano yakitokea na yeye atakuwa anasikilizia upepo. Maandamano yakikolea, yeye na washikaji zake wanaamia upande wa waandamaniji.
Na alinipa siri za yaliyokuwa yanatokea kibiti.
Watu wa dizaini hiyo ni wa kuignore tu. Ukiwajibu unapoteza muda wako bure tuAlikutapeli nini mkuu??? je ulimpeleka katika vyombo vinavyohusika na kutoa haki??? Tujuze 😵😵
Upo sahihi 100%..mkuu huu utawala unachukiwa sana kwenye hizi sekta 2 za ulinzi hapa nchiniPolisi na wanajeshi wanatuangalia sisi tukionesha msimamo watajiunga nasi kuwatoa....
Tukiwa legeleg hawatatuunga mkono maana wataitwa wahaini
Mungu ni Pendo
Hahaha nacheka lakini kwa huzuni sana sijui hata taifa langu linaelekea wapi...Naona mambo ni motoo mambo ni hiviii
Lkn ktk uchaguzi huo aliowapa Adam na Hawa aliwazuia kula Tunda la mti wa katikati. Unajua inaanisha nini ktk ulimwengu Wetu?Uhuru si zawadi tunayopewa na watawala bali ni haki ya asili ya kila mtu kwa sababu tuliumbwa nayo. NI HAKI YA ASILI!!!
Kiuhalisia tawala za kidunia mara nyingi hulenga katika kupora uhuru huo ili wawatawale watu kama wapendavyo. Lakini hivyo si sawa. Hata Mungu alipowaumba Adamu na Hawa aliwapa uhuru wa kutosha wa kufanya maamuzi na uchaguzi (Mwanzo mlango wa 1 na wa 2).
Ni ubaya na uovu pale tu uhuru huo unapotumika vibaya kwa lengo la kuingilia, kukandamiza na kuhatarisha uhuru na maisha ya wengine. Hii ndio sababu zipo katiba na sheria za nchi huru pamoja na maazimio ya kimataifa vinavyotungwa ili kulinda uhuru huo.
Uhuru wetu ni haki na kipawa cha asili tulichopewa na muumba wetu.
Ni wajibu wako kupambana na yeyote anayejaribu kukunyang'anya uhuru wako ambao ni haki yako ya asili.
Huyo ni tapeli tuuu
Uhuru wa kuingia uchi kanisani?
Ni wa malawi ninamfahamu nae tumewahi ishi nae chitipa malawi na tulikuwa nae machimboni mtepweshi msumbiji alijitambulisha yeye ni mmalawi."Huyu baba Askofu hana asili ya Malawi kweli"-yatakua ni maneno kwenye korido za ofisi flani flani hapa Mjini.
Wote hawapendi nchi navyo endaUpo sahihi 100%..mkuu huu utawala unachukiwa sana kwenye hizi sekta 2 za ulinzi hapa nchini
Ukisikia paaa !!Huyo ni tapeli tuuu